Nabii Musa kalamba milion MIA MOJA tasilimu mchango wa ujenzi wa kanisaNi mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.
Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana bima).
Anafuja fedha nyingi kuanda tamadha la Kizimkazi badala kuwalipia bima ya afya wazee wote hapa nchini.
View attachment 3192651
Mkuu una hoja.Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.
Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana bima).
Anafuja fedha nyingi kuanda tamadha la Kizimkazi badala kuwalipia bima ya afya wazee wote hapa nchini.
View attachment 3192651
fungukaMkuu una hoja.
Natamani nami nitoe dukuduku langu kupitia uzi wako huu lakini daaa.
Basi acha nipite kimya kimya.
Hivi huyu siku mwanaye au mkwewe akiiona hii clip atamuambia nn?
FungukaaMkuu una hoja.
Natamani nami nitoe dukuduku langu kupitia uzi wako huu lakini daaa.
Basi acha nipite kimya kimya.
Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.