Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa.
Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana bima).
Anafuja fedha nyingi kuanda tamadha la Kizimkazi badala kuwalipia bima ya afya wazee wote hapa nchini.
View attachment 3192651
Anajua watu lala lala mbaya yeye DP world wanatoa check tu na Abdul anatembeza pesa nyie shabikieni tu🧕