Rais wetu anajali sana starehe kuliko maisha ya watu?

Mkuu huyu mama maisha yake siku zote yapo hivo
 
Reactions: G4N
Post ya kipuuzi sana

Ana post kila siku matukio kadhaa…. Unataka adipose kabisa hata pongezi?

Pitia pages zake na za ikulu

Last week alone she had over 100 posts
 
Watanganyika tupo ktk wakati mgumu sana
 
Reactions: G4N
Hakuna mzanzibar mwenye roho ya kumjali mtanganyika.
 
Reactions: G4N
Mikusanyiko inapewa sana kipaumbele msimu huu.Hata kule Arusha kunamfurahisha sana!!.Mikusanyiko imekuwa kama ulevi kwa baadhi ya watu.Mpe maskini kileo asahau shida zake
 
Reactions: G4N
Starehe ndo maisha yemyewe we dogo. Maisha ni mafupi mno
 
Reactions: G4N
Amepata kitu kinaitwa "development fatigue".
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…