Rais wetu anajali sana starehe kuliko maisha ya watu?


Anajua watu lala lala mbaya yeye DP world wanatoa check tu na Abdul anatembeza pesa nyie shabikieni tu🧕
 
Reactions: G4N
Inaonekana kama ulikuwa umelala na saiv nd unaamka, akili yako haijakaa sawa.
 
COMFORTER OF THE NATION....

Yaani achangie tu misiba ,anapochangia harusi iwe NONGWA ?!! Khaaa BIASES na uonevu huu.....

Mh.Rais yuko sahihi kabisa....
 
Nchi anayotoka watu wanaingia kazini saa 4 asubuhi saa 6 mchana wanaenda kufanya swala saa 8 wanafunga ofisi
 
Nchi anayotoka watu wanaingia kazini saa 4 asubuhi saa 6 mchana wanaenda kufanya swala saa 8 wanafunga ofisi
Yanga na Simba wanapeperusha BENDERA YA NCHI....hili ni jambo la kidiplomasia....

Kule atokako ,wakienda "kufanya swala" hawapeperushi bendera ya nchi...wangefanya hivyo basi "utamaduni wetu" tungemshauri mh.Rais nao awe anawazawadia hata "pongezi"....

#Nchi Kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…