upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,089
- 4,535
Unapata raha gani kuona watu wanakuwa mafukara kama wewe?
Hio inaitwa haki sawa kwa wote, watu tumepaki magari sasa mambo yote mwendo kasi
Alipata raha gani wakati wangine ni matajiri wa kutupwa Na yeye ni fukara.?Unapata raha gani kuona watu wanakuwa mafukara kama wewe?
Fukara we utakufa fukara tu. Magufuli hatakusaidia kamwe. Si ajabu we ni muislamu hata sukari ya kufuturu huna leo ya kwa bei kubwa,halafu unashikamooza ng'ombe we wa maziwa, unakamuliwa tu!Ama kweli ubabe umepungua mtaani, hakuna muziki munene kwa magari kama ilivyozoeleka kwa vijana wa town, uchumi wa MTU mmoja mmoja umeleta utata
Magufuli shikamoo..
Bank nako hakuna foleni, tulizoea kuona foleni ndefu kuanzia kuweka hadi kuchukua pesa kwa ATM lakini hazipo tena, sasa ukienda bank unanyoosha kaunta,
Nasema tena shikamooo.
Ubabe wa matajiri na wenye Nazo nao umepungua, sasa tunaheshimiana.
Ninakuamkia..shikamooo.
Ofisi za umma Nazo zilikuwa na miungu watu, sasa no watumishi wa umma na sio miungu watu tena, baba Jesca shikamooo.
Umetumbua majipu bila ganzi na usaha umetudondokea mifukoni,
Mkuu shikamooo.
Wewe ni kiboko
Nasema shikamooo umeleta heshima MUJINI...japo...
Choo cha kuflashi kilikuwa cha wachache, choo cha shimo ndio kinatugusa wengi.!Anafurahi kuona umasikini umeongezeka.....ana akili ya tukose wote, hii ni akili ya choo cha shimo
Foleni Bank kweli mkuu hakunaAma kweli ubabe umepungua mtaani, hakuna muziki munene kwa magari kama ilivyozoeleka kwa vijana wa town, uchumi wa MTU mmoja mmoja umeleta utata
Magufuli shikamoo..
Bank nako hakuna foleni, tulizoea kuona foleni ndefu kuanzia kuweka hadi kuchukua pesa kwa ATM lakini hazipo tena, sasa ukienda bank unanyoosha kaunta,
Nasema tena shikamooo.
Ubabe wa matajiri na wenye Nazo nao umepungua, sasa tunaheshimiana.
Ninakuamkia..shikamooo.
Ofisi za umma Nazo zilikuwa na miungu watu, sasa no watumishi wa umma na sio miungu watu tena, baba Jesca shikamooo.
Umetumbua majipu bila ganzi na usaha umetudondokea mifukoni,
Mkuu shikamooo.
Wewe ni kiboko
Nasema shikamooo umeleta heshima MUJINI...japo...
Mwenzangu nilienda immigration town ku renew passport unakumbuka enzi zile hata pa kukaa hamna sasa nilikuwa nahama hama kutoamini hamna watu ndani na pochi unaweka popote.watu ulikuwa unawahesabu.nikawauliza watu mbona hamna nikaambiwa watu wa serikalini ndo waliokuwa wanasafiri kuliko wengine wowote safari za nje hakuna.Ama kweli ubabe umepungua mtaani, hakuna muziki munene kwa magari kama ilivyozoeleka kwa vijana wa town, uchumi wa MTU mmoja mmoja umeleta utata
Magufuli shikamoo..
Bank nako hakuna foleni, tulizoea kuona foleni ndefu kuanzia kuweka hadi kuchukua pesa kwa ATM lakini hazipo tena, sasa ukienda bank unanyoosha kaunta,
Nasema tena shikamooo.
Ubabe wa matajiri na wenye Nazo nao umepungua, sasa tunaheshimiana.
Ninakuamkia..shikamooo.
Ofisi za umma Nazo zilikuwa na miungu watu, sasa no watumishi wa umma na sio miungu watu tena, baba Jesca shikamooo.
Umetumbua majipu bila ganzi na usaha umetudondokea mifukoni,
Mkuu shikamooo.
Wewe ni kiboko
Nasema shikamooo umeleta heshima MUJINI...japo...
uji bila sukari[emoji28] [emoji28] [emoji28]Uchumi umekufa siku sio nyingi tutanza kupanga foleni za kuomba unga wa uji.
...japo..Fukara we utakufa fukara tu. Magufuli hatakusaidia kamwe. Si ajabu we ni muislamu hata sukari ya kufuturu huna leo ya kwa bei kubwa,halafu unashikamooza ng'ombe we wa maziwa, unakamuliwa tu!