Rais wetu Dkt Magufuli ni mkombozi wa wanyonge, shujaa mpya katika bara la Afrika

Alisema serikali yake anataka wote muishi Kama MASHETANI , mkuu naona ushetani umeupenda
 
Anafurahi kuona umasikini umeongezeka.....ana akili ya tukose wote, hii ni akili ya choo cha shimo
 
Na bado tunaisoma kimyakimya ukisikia anapiga kelele ujue limempata
 
Uchumi umekufa siku sio nyingi tutanza kupanga foleni za kuomba unga wa uji.
 
Fukara we utakufa fukara tu. Magufuli hatakusaidia kamwe. Si ajabu we ni muislamu hata sukari ya kufuturu huna leo ya kwa bei kubwa,halafu unashikamooza ng'ombe we wa maziwa, unakamuliwa tu!
 
Ukiwa na akili kama hizi wewe ni janga zaidi ya kimbunga maana kufurahia anguko la wenzako hizo ni Sera za wachawi.
 
Anafurahi kuona umasikini umeongezeka.....ana akili ya tukose wote, hii ni akili ya choo cha shimo
Choo cha kuflashi kilikuwa cha wachache, choo cha shimo ndio kinatugusa wengi.!
 
La
Foleni Bank kweli mkuu hakuna
 
Mwenzangu nilienda immigration town ku renew passport unakumbuka enzi zile hata pa kukaa hamna sasa nilikuwa nahama hama kutoamini hamna watu ndani na pochi unaweka popote.watu ulikuwa unawahesabu.nikawauliza watu mbona hamna nikaambiwa watu wa serikalini ndo waliokuwa wanasafiri kuliko wengine wowote safari za nje hakuna.
 
Fukara we utakufa fukara tu. Magufuli hatakusaidia kamwe. Si ajabu we ni muislamu hata sukari ya kufuturu huna leo ya kwa bei kubwa,halafu unashikamooza ng'ombe we wa maziwa, unakamuliwa tu!
...japo..
Sijui umeelewa hili neno la mwisho...japo...
 
Baba Jeska anataka kuona Watz wote wamekuwa mafukara, sijui kama nchi hali hii ina faida gani
 
sukari imeshuka bei,sasa ni Tsh 3000 huku niliko,shikamoo baba Jesca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…