Rais wetu Dkt Magufuli ni mkombozi wa wanyonge, shujaa mpya katika bara la Afrika

Ukiona hivo uchumi umekuwa vibaya wananchi kutesa badala ya kupata unafuu na kushabikia ni ujuha
 
Ukiwa na akili kama hizi wewe ni janga zaidi ya kimbunga maana kufurahia anguko la wenzako hizo ni Sera za wachawi.
"Anguko" la wengine una maana gani? Hivi fisadi aliyekuwa anaponda raha huku wagonjwa wanalala chini akinyooshwa na huduma zikaanza kuboreka utaacha kufurahi! Hivi wale wakwepa kodi wakubwa waliotengeneza mtandao wanapopata faida kubwa isivyo halali akinyooshwa utaacha kufurahi? Kuna sera za kichawi hapo? Tunatakiwa kuishi real life na sio artificial life. Kama umewekeza kihalali, ukachuma kihalali no problem. Sio mtu ana kikampuni cha kitapeli anapewa tenda ya mabilioni na hakuna kazi inayofanyika, watu wanagawana pesa kwa miradi hewa

Watakuelewa tu JPM, wanyooshe.
 
Mpaka sasa wanafunzi wa vyuo vingi hawajapewa pesa za kujikimu


sema tens shikamo
 
Unapata raha gani kuona watu wanakuwa mafukara kama wewe?
Uelewa wa tz no mdogo mno.
Kwa akili yako nimesifia Magufuli?
Ninaposema usaha umetudondokea mifukoni unaelewa mini wewe lakini!
Poor tanzanians
 
 
Wewe pia ulaaniwe saba mara sabini kwa kuhukumu wenzio
 
Uelewa wa tz no mdogo mno.
Kwa akili yako nimesifia Magufuli?
Ninaposema usaha umetudondokea mifukoni unaelewa mini wewe lakini!
Poor tanzanians
Poa nimekuelewa ewe mwelevu,ila next time kumbuka kuwa we are not tanzanians but Tanzanians.
 
Nimapema sana kutabari hiyo hali, wacha tuwape mda kwanza baadae tutawapost.

Send to mleta post.
 
ni kweli baba jescka kazi anaeifanya ni faida kwa taifa km kuna mtu haoni yanayofanywa basi ni yeye na kwa%100 ni 25%ndo wako kinyume na serikali ya awamu ya tano go go go babajesck tuko nyumako
 
ni kweli baba jescka kazi anaeifanya ni faida kwa taifa km kuna mtu haoni yanayofanywa basi ni yeye na kwa%100 ni 25%ndo wako kinyume na serikali ya awamu ya tano go go go babajesck tuko nyumako
Maisha ndugu yangu ni kama mizani, leo imepanda kwako kwa mwenzio imeshuka so muache mwenzio nayeye aseme kulingana na upungufu huo nahata ikipungua kwako usisite kusema pia.
 
Magufuli ni tumain letu daima kila goti kwake litapigwa.
Acha ujuha wewe, labda huko Simiyu ila hapa mjini Hamna tumaini sukari haishikiki, mchele ndio balaa, mafuta ya kula usiseme
 
Simiyu yetu simuelewagi Mimi huyu MTU.
Acha ujuha wewe, labda huko Simiyu ila hapa mjini Hamna tumaini sukari haishikiki, mchele ndio balaa, mafuta ya kul usiseme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…