Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,126
Reaction score
849
Habari za Jioni Wadau,
Niende kwenye Mada.

Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao.

Hii shida ililetwa na Serikali ya awamu ya Tano ambapo Rais wa sasa alikuwa Vice na ni ukweli usiopingika kuwa hata yeye hakuwa na amani ushahidi wa hilo ile timu ya iliyokuwa nje ya mamlaka ilirejea na pia mambo mengi ya kiutawala aliyaweka mrengo tofauti na mtangulizi wake mfano, usumbufu na fukuza fukuza kwa wafanyakazi, madaraja kupanda na ajira mpya kidogo kuongezeka. Wafanyakazi wana confidence & self- commitment ķuliko mwanzo.

Ile cynical censorship of Media at least ilipungua kuliko mwanzo. Mama wa Magufuli hakuwa na Sauti mkuu wa mkoa hata Wilaya hasa Makonda, Chalamila, Sabaya hawa watu walikuwa na sauti kuliko mama.

Mama alikuwa mtu wa kawaida sana kiukweli nilitegemea angetengeneza mazingira ya haki na uhuru kwa watu wote bahati mbaya Mama kageuka sio yule tena sijuii ndio mzimu wa mtangulizi wake unamsumbua..

TOFAUTI kubwa kwa uongozi wa mama na Chuma, kwa sasa wahuni na wezi ndio wenye sauti katika nchi yetu. Miradi ile tuliyoambiwa kama SGR kipande cha Morogoro - Dodoma- Singida- Tabora- Kigoma hatuoni hiyo kasi lakini sababu za ndani ni kuwa Serikali haina pesa

  • swali pekee mbona deni linakuwa kwa kasi na mikopo tuliyokopo kwa wingi imefanya nini?
  • Inakuaje tutumie zaidi 1.8 Trillion kurekebisha bandari baada ya hapo tumpe mtu aiendeshe?
  • Inakuaje tutumie zaidi ya 200 Billion kutengeneza barabara lakini Mwaarabu aje apewe kirahisi tu na bahati mbaya hatuambiwi faida kama Nchi tutakayoipata au hiyo faida ionekane kwenye maisha ya kawaida?
  • Inakuaje ukope 1.8 Trillion kupitia Uviko Fund tuzipeleke (some amount) kwenye ujenzi wa madarasa bado tukachukuwa kwenye mfuko wa dharula pia tukaanzisha TOZO kwenye jambo hilo hilo lakini ukiangalia kwa undani hakuna uhalisia?

Sio maswali magumu sana ya kujibu maana yameulizwa mara nyingi sana. Bahati mbaya Rais wetu kaiga mfumo wa Ubabe wa mtangulizi wake badala ya uchapa kazi wa CHUMA maana tulisema JIWE katoka Usukumani ni kawaida kuwa katika hali ile ya ubabe nawaza Mzaramo/Mmatumbi~ Mzanzibar hizi tabia kazitoa wapi Rais wetu hizi sio tabia za watu wa Pwani kabisa?

Kitu kibaya zaidi hii Kasumba ya kuumiza watu wanahoji mambo yanayohusu nchi sio kweli na sio lazima tuamini kuwa Rais anaweza akawa Mzarendo wa Taifa letu maana matatizo makubwa tuliyonayo yameletwa na Viongozi wetu kwa nini tulazimishane kuwamini kwenye UZALENDO ambao haupo?

Uzalendo wa Familia inayolipwa na kulishwa bado haitoshi wote wanataka kuwa viongozi hiyo haitoshi kuna malipo ya WENZA wa viongozi huu ndio Uzalendo?

Mtanzania anauliza swali badala ya kujibiwa anakutana na Mahakama, Police au Mabwepande kweli ndio maisha tumechagua ? Kama Mwalimu, Job Lusinde, Kawawa, Bob Makani na Wengine waliopambania Taifa wangekuwa na hizo roho wangetuwekea sumu kisa walipata mateso kutoka kwa wakoloni wakitafuta uhuru. Leo wote tumekuta mambo yapo shwari ghafla miongoni mwetu wengine wanajivika koti la ukombozi na Uzalendo je huku tunakopita ndio ukombozi?

Nadhani ingekuwa ni nafuu zaidi kama Muingereza angetawala maana haya manyanyaso hayakuwepo walitoa nafasi kidogo watu wakatoa mawazo yao hata Uchaguzi wakashiriki.

Kwa kumalizia naomba sana Rais wetu alinde uhuru na haki za watu, watu kwenye Taifa hili wanatoa machozi ndani ya nyumba zao na kulilia hatima zao. Imekuwa ni bahati mbaya wanaoshiba hushangilia baada ya kulipwa lakini ukweli ni kuwa hata Magufuli alishangiliwa sana zaidi hata ya Napoleon Bonaparte, Adolf Hitler, Tsar Nicholas II na Benito Mussolini lakini wapiga ZUMARI walipoona Magufuli hayupo walimponda. Somo hapa watu wanakushangilia kwa sababu wanashiba kupitia wewe ila kuna siku watakukimbia.

Kwenye Historia hakuna Nchi iliyowahi kupitia hali hii na mambo yakabaki kama yalivyo Mungu huinuka kuwatetea watu wake hasa kwa wale walioamua kulia sio kubeba mapanga na mishale kujibu mapigo. Rais rekebisha hii hali na Mungu atakupa miaka mingi ya kuishi. Watanzania tumechoka kuona mambo yanaenda kwa ubabe hata yale ambayo ni haki ya mtu kujua.

Mungu akupe Jicho la kuona uone hili maana huu ni mtego tegua mapema Rais wetu.

Nb: Nimeandika andiko hili kwa mapenzi ya nchi yangu na kutoa mtazamo wangu kama kuna kitu nimejielekeza tofauti nipo tayari kukosolewa sio kejeli, matusi na vitisho.
 
Habari za Jioni Wadau,
Niende kwenye Mada.

Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii shida ililetwa na Serikali ya awamu ya Tano ambapo Rais wa sasa alikuwa Vice na ni ukweli usiopingika kuwa hata yeye hakuwa na amani ushahidi wa hilo ile timu ya iliyokuwa nje ya mamlaka ilirejea na pia mambo mengi ya kiutawala aliyaweka mrengo tofauti na mtangulizi wake mfano, usumbufu na fukuza fukuza kwa wafanyakazi, madaraja kupanda na ajira mpya kidogo kuongezeka. Wafanyakazi wana confidence & self- commitment ķuliko mwanzo.

Ile cynical censorship of Media at least ilipungua kuliko mwanzo. Mama wa Magufuli hakuwa na Sauti mkuu wa mkoa hata Wilaya hasa Makonda, Chalamila, Sabaya hawa watu walikuwa na sauti kuliko mama. Mama alikuwa mtu wa kawaida sana kiukweli nilitegemea angetengeneza mazingira ya haki na uhuru kwa watu wote bahati mbaya Mama kageuka sio yule tena sijuii ndio mzimu wa mtangulizi wake unamsumbua..

TOFAUTI kubwa kwa uongozi wa mama na Chuma, kwa sasa wahuni na wezi ndio wenye sauti katika nchi yetu. Miradi ile tuliyoambiwa kama SGR kipande cha Morogoro - Dodoma- Singida- Tabora- Kigoma hatuoni hiyo kasi lakini sababu za ndani ni kuwa Serikali haina pesa
​
  • swali pekee mbona deni linakuwa kwa kasi na mikopo tuliyokopo kwa wingi imefanya nini?
    [*]Inakuaje tutumie zaidi 1.8 Trillion kurekebisha bandari baada ya hapo tumpe mtu aiendeshe?
    [*]Inakuaje tutumie zaidi ya 200 Billion kutengeneza barabara lakini Mwaarabu aje apewe kirahisi tu na bahati mbaya hatuambiwi faida kama Nchi tutakayoipata au hiyo faida ionekane kwenye maisha ya kawaida?
    [*]Inakuaje ukope 1.8 Trillion kupitia Uviko Fund tuzipeleke (some amount) kwenye ujenzi wa madarasa bado tukachukuwa kwenye mfuko wa dharula pia tukaanzisha TOZO kwenye jambo hilo hilo lakini ukiangalia kwa undani hakuna uhalisia?

Sio maswali magumu sana ya kujibu maana yameulizwa mara nyingi sana. Bahati mbaya Rais wetu kaiga mfumo wa Ubabe wa mtangulizi wake badala ya uchapa kazi wa CHUMA maana tulisema JIWE katoka Usukumani ni kawaida kuwa katika hali ile ya ubabe nawaza Mzaramo/Mmatumbi~ Mzanzibar hizi tabia kazitoa wapi Rais wetu hizi sio tabia za watu wa Pwani kabisa?

Kitu kibaya zaidi hii Kasumba ya kuumiza watu wanahoji mambo yanayohusu nchi sio kweli na sio lazima tuamini kuwa Rais anaweza akawa Mzarendo wa Taifa letu maana matatizo makubwa tuliyonayo yameletwa na Viongozi wetu kwa nini tulazimishane kuwamini kwenye UZALENDO ambao haupo?

Uzalendo wa Familia inayolipwa na kulishwa bado haitoshi wote wanataka kuwa viongozi hiyo haitoshi kuna malipo ya WENZA wa viongozi huu ndio Uzalendo?

Mtanzania anauliza swali badala ya kujibiwa anakutana na Mahakama, Police au Mabwepande kweli ndio maisha tumechagua ? Kama Mwalimu, Job Lusinde, Kawawa, Bob Makani na Wengine waliopambania Taifa wangekuwa na hizo roho wangetuwekea sumu kisa walipata mateso kutoka kwa wakoloni wakitafuta uhuru. Leo wote tumekuta mambo yapo shwari ghafla miongoni mwetu wengine wanajivika koti la ukombozi na Uzalendo je huku tunakopita ndio ukombozi? Nadhani ingekuwa ni nafuu zaidi kama Muingereza angetawala maana haya manyanyaso hayakuwepo walitoa nafasi kidogo watu wakatoa mawazo yao hata Uchaguzi wakashiriki.

Cha kushangaza zaidi, utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake. Embu tujiulize, Baraza la Wadhamini la Yanga lina kina nani? Yaani kina Mkuchika, Mama Karume, Mwigulu na Mavunde ndiyo wamzuie Hersi kuichangia CCM? Mbona hapa nawaona ngedere, sokwe, nyani na tumbili. Au kina Ali Kamwe na Privaldinho ndiyo wangeenda kumzuia Hersi asichangie CCM?
 
😆😆😆😆😆
 
Kama ipo hivyo mbona hawajamtaka atoke Ofisini? Anyway hizi era sio za kufumba fumba mambo watu wanajua kila kitu lakini wanaacha viongozi wajipe moyo.
 
Ngoja kwanza nifikirie vizuri, aliyechanga ni Yanga afrika au gsm?
 
Ushetani wa huyu wa sasa umezidi wa mtangulizi yeyote.

Ile taarifa ya Gwajiboy, ambayo aliipata toka kwa makamanda, ni kwamba kile kikundi cha watekaji na wauaji kipo chini yake na kinaripoti moja kwa moja kwake. Na makamanda wakitoa ushauri kuhusiana na hicho kikundi, wanaondolewa kwenye nafasi zao.

Huyu bibi kwa kweli ni shetani katika umbile la mwanadamu. Alikuja kwa lugha za kuvutia, kama ilivyo kawaida ya shetani, kukuonesha yale ya kufurahisha macho, lakini ndani yake akiwa amebeba maangamizi. Sasa tupo kwenye maangamizi.
 
Habari za Jioni Wadau,
Niende kwenye Mada.

Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii shida ililetwa na Serikali ya awamu ya Tano ambapo Rais wa sasa alikuwa Vice na ni ukweli usiopingika kuwa hata yeye hakuwa na amani ushahidi wa hilo ile timu ya iliyokuwa nje ya mamlaka ilirejea na pia mambo mengi ya kiutawala aliyaweka mrengo tofauti na mtangulizi wake mfano, usumbufu na fukuza fukuza kwa wafanyakazi, madaraja kupanda na ajira mpya kidogo kuongezeka. Wafanyakazi wana confidence & self- commitment ķuliko mwanzo.

Ile cynical censorship of Media at least ilipungua kuliko mwanzo. Mama wa Magufuli hakuwa na Sauti mkuu wa mkoa hata Wilaya hasa Makonda, Chalamila, Sabaya hawa watu walikuwa na sauti kuliko mama. Mama alikuwa mtu wa kawaida sana kiukweli nilitegemea angetengeneza mazingira ya haki na uhuru kwa watu wote bahati mbaya Mama kageuka sio yule tena sijuii ndio mzimu wa mtangulizi wake unamsumbua..

TOFAUTI kubwa kwa uongozi wa mama na Chuma, kwa sasa wahuni na wezi ndio wenye sauti katika nchi yetu. Miradi ile tuliyoambiwa kama SGR kipande cha Morogoro - Dodoma- Singida- Tabora- Kigoma hatuoni hiyo kasi lakini sababu za ndani ni kuwa Serikali haina pesa
​
  • swali pekee mbona deni linakuwa kwa kasi na mikopo tuliyokopo kwa wingi imefanya nini?
    [*]Inakuaje tutumie zaidi 1.8 Trillion kurekebisha bandari baada ya hapo tumpe mtu aiendeshe?
    [*]Inakuaje tutumie zaidi ya 200 Billion kutengeneza barabara lakini Mwaarabu aje apewe kirahisi tu na bahati mbaya hatuambiwi faida kama Nchi tutakayoipata au hiyo faida ionekane kwenye maisha ya kawaida?
    [*]Inakuaje ukope 1.8 Trillion kupitia Uviko Fund tuzipeleke (some amount) kwenye ujenzi wa madarasa bado tukachukuwa kwenye mfuko wa dharula pia tukaanzisha TOZO kwenye jambo hilo hilo lakini ukiangalia kwa undani hakuna uhalisia?

Sio maswali magumu sana ya kujibu maana yameulizwa mara nyingi sana. Bahati mbaya Rais wetu kaiga mfumo wa Ubabe wa mtangulizi wake badala ya uchapa kazi wa CHUMA maana tulisema JIWE katoka Usukumani ni kawaida kuwa katika hali ile ya ubabe nawaza Mzaramo/Mmatumbi~ Mzanzibar hizi tabia kazitoa wapi Rais wetu hizi sio tabia za watu wa Pwani kabisa?

Kitu kibaya zaidi hii Kasumba ya kuumiza watu wanahoji mambo yanayohusu nchi sio kweli na sio lazima tuamini kuwa Rais anaweza akawa Mzarendo wa Taifa letu maana matatizo makubwa tuliyonayo yameletwa na Viongozi wetu kwa nini tulazimishane kuwamini kwenye UZALENDO ambao haupo?

Uzalendo wa Familia inayolipwa na kulishwa bado haitoshi wote wanataka kuwa viongozi hiyo haitoshi kuna malipo ya WENZA wa viongozi huu ndio Uzalendo?

Mtanzania anauliza swali badala ya kujibiwa anakutana na Mahakama, Police au Mabwepande kweli ndio maisha tumechagua ? Kama Mwalimu, Job Lusinde, Kawawa, Bob Makani na Wengine waliopambania Taifa wangekuwa na hizo roho wangetuwekea sumu kisa walipata mateso kutoka kwa wakoloni wakitafuta uhuru. Leo wote tumekuta mambo yapo shwari ghafla miongoni mwetu wengine wanajivika koti la ukombozi na Uzalendo je huku tunakopita ndio ukombozi? Nadhani ingekuwa ni nafuu zaidi kama Muingereza angetawala maana haya manyanyaso hayakuwepo walitoa nafasi kidogo watu wakatoa mawazo yao hata Uchaguzi wakashiriki.

Kwa kumalizia naomba sana Rais wetu alinde uhuru na haki za watu, watu kwenye Taifa hili wanatoa machozi ndani ya nyumba zao na kulilia hatima zao. Imekuwa ni bahati mbaya wanaoshiba hushangilia baada ya kulipwa lakini ukweli ni kuwa hata Magufuli alishangiliwa sana zaidi hata ya Napoleon Bonaparte, Adolf Hitler, Tsar Nicholas II na Benito Mussolini lakini wapiga ZUMARI walipoona Magufuli hayupo walimponda. Somo hapa watu wanakushangilia kwa sababu wanashiba kupitia wewe ila kuna siku watakukimbia.

Kwenye Historia hakuna Nchi iliyowahi kupitia hali hii na mambo yakabaki kama yalivyo Mungu huinuka kuwatetea watu wake hasa kwa wale walioamua kulia sio kubeba mapanga na mishale kujibu mapigo. Rais rekebisha hii hali na Mungu atakupa miaka mingi ya kuishi. Watanzania tumechoka kuona mambo yanaenda kwa ubabe hata yale ambayo ni haki ya mtu kujua.

Mungu akupe Jicho la kuona uone hili maana huu ni mtego tegua mapema Rais wetu.

Nb: Nimeandika andiko hili kwa mapenzi ya nchi yangu na kutoa mtazamo wangu kama kuna kitu nimejielekeza tofauti nipo tayari kukosolewa sio kejeli, matusi na vitisho.
​
Naona maaskofu makanjanja wa ufufuo na uzima njaa inawapiga mb. Waaa nyie
 
Mpumbavu ni yule anayeishi kwenye zizi la giza akijipa moyo kuwa Mwanga utakuja. Who told you bandiko hili ni reaction ya kufungiwa makanisa ya Gwajima? Am really concerned with all chaoses happen in our country. Binafsi napenda kuona amani na uhuru wa mtu ndani ya nchi yake kama kuna tatizo atendewe kulingana na kosa lake kwa sheria zetu sio kufa au kuumizwa this is my point. Problem kama hujafikiwa unaweza ukaona sawa kwa sababu ya roho zetu nyeusi tunasahau kuwa Mvua ikinyesha Namtumbo sio lazima inyeshe na Ikwiriri ila itafika siku itanyesha. Tunatoa ushauri kuleta balance kwenye nchi yetu Damu huwa haipotei inaleta laana kizazi mpaka kizazi na ni lazima ilipwe kwa damu (sadaka) haya mambo ni magumu. Ushauri wangu ndio huo.
 
Inakuaje kama nchi inaongozwa na 'parallel government'? Genge la majizi lenye nguvu kubwa kuliko Serikali halali.
 
Back
Top Bottom