Wewe ndio huelewi, model ya M23 na Alshabaab ni sawa kabisa, wote wanalo jeshi lenye uniform na vikosi kamili, wote huteka na kutawala maeneo, tofauti ni kwamba Alshabaab wakati Fulani hutumia wapiganaji wa kujitoa muanga, lakini hiyo sio tatizo Kama jeshi ni imara katika(military intelligence)
Ruto seems to be very naive. Hivi anauelewa vizuri mchezo unaoendelea DRC au ameamua kuiingiza nchi yake kwenye dimbwi mwisho ashindwe kutoka?
MK254
Wavaa kobazi ni waviziaji na majambia yao...Aliekueleza wameshindwa Somalia ni nani? Unadhani Alshabaab wako kwenye uwanja wa vita kama walivyo M23?
Alshabab aka wavaa kobazi hawako uwanja wa vita.... ustadh wako kakupiga kamba huko madrassatulal shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Ikitakiwa kuwa ivyo nitaenda Kwa ajili ya nchi yangu,hii nchi sio ya kuchezewa.Mkuu na wewe ukawe Frontline maana unaonekana mzalendo ...Marekani imeweka kitita Cha kumsaka Joseph Koni....kwhy huko sio lelemama
Itakua alikua shule miaka Ile M7 ndio alisuluhisha Lile suala na Pk alikaliwa kooni kweli kweli.Ww bado mdogo sana, unajua Kagame alikuwa nusura Tz imtoe wakati alimtusi JK.. Aliomba msamaha haraka, baada ya JPM kuingia madarakani akajipendekeza haraka sana kisa JK alimtengeneza na kumtia adabu. Unajua TZ ilimaliza kabisa M23 na kupotea kabisa, Kagame hawezi chukua round kwa Tz.. Tatizo lako utoto hujui kitu.
Sawa Kamanda KabudiIkitakiwa kuwa ivyo nitaenda Kwa ajili ya nchi yangu,hii nchi sio ya kuchezewa.
Haya sio maamuzi ya Ruto, ni mpango ameukuta ulioandaliwa na mataifa yote ya EAC, imefikia hatua DRC isaidiwe...
Alshabab aka wavaa kobazi hawako uwanja wa vita.... ustadh wako kakupiga kamba huko madrassatul
Umesahau kilichomkuta Makenga na M23 yake Ile kazi ilifanywa na Jeshi la Kongo TZ ilikua inatoa ushauri tu wa kimedani ila Sultan alikumbia sasa hivi wakongo wakae pembeni kwanza tunataka kuonyesha izi kazi zinavyofanyika.[emoji1][emoji1] kwamba Nyie Sasa ndio mmegeuka kua Savior wa East Africa [emoji1][emoji1][emoji1],acheni kujipa umuhimu msiokua nao.
Hao M23 siku zote wakizidiwa huwa wanakimbilia Rwanda na kupewa hifadhi, Rwanda akiulizwa mbona unawatetea anakwambia nimewaweka kwenye Makambi maalum, maana nao ni binadam na wanahitaji kulindwa, sasa kwanini ulinde magaidi kama si wewe unaewatuma kuiba madini?Dawa ni kuwapelekea moto tu Rwanda alienda Msumbiji kutusukumia wale magaidi yaingie nchini kupitia Mtwara Wala hatukulialia tulipambana tu na hali zetu. Ni muda sasa wa kwenda Mashariki mwa Congo kusukuma waasi wanaoisumbua Congo watafute Kwa kwenda na hatutaki kusikia kelele humu.
This time Mimi natamani wasikimbilie popote pale zipigwe mpk mwisho tuone itakavyokua tu.Hao M23 siku zote wakizidiwa huwa wanakimbilia Rwanda na kupewa hifadhi, Rwanda akiulizwa mbona unawatetea anakwambia nimewaweka kwenye Makambi maalum, maana nao ni binadam na wanahitaji kulindwa, sasa kwanini ulinde magaidi kama si wewe unaewatuma kuiba madini?
Huyu Kagame ndiye mmiliki wa Rwanda kama Ccm inavyoimiliki Tz.Kagame awe makini tu kwenye safari yake ya Burundi aweke maanani yaliyomkuta Rwagasore hawa Wakongo pia hawaaminiki.
Anastahili,wakati Watu wake wanauwawa kwa maelfu ni yeye peke yake na RPF ndio walikomesha Mauwaji, hata Ufaransa ilikasirika na kutuma Vikosi ili mauaji yaendelee, lakini Mungu ni mkubwa walipigwa ganzi na Mungu.Huyu Kagame ndiye mmiliki wa Rwanda kama Ccm inavyoimiliki Tz.
Mbaya zaidi m23 wanaujua huo msitu vizuri kuliko hao KDF yaani nawaonea huruma watadakwa kama vindege huko msituniUhuru nae hivyo hivyo alituma KDF kule Somalia, Matokeo yake Alshabaab wakaja kushambulia Kenya eg. ( West Gatte attack) Ruto nae anaenda kufanya jaribio ambalo kwa haraka haraka ni vigumu hicho kikosi kufanikiwa dhidi ya M23, Serikali za DRCKongo zimepambana na hhili kundi kwa muda mpaka sasa na halionekani kurudi nyuma, kila siku wanasumbua raia katika majimbo kadhaa na kuteka miji, KDF wanaenda kufanya nini kipya humo msituni?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
hili lilikua linajulikana siku nyingi kdf kwenda drcKila laheri KDF...ila suluhu ya kijeshi iende sambamba na diplomasia kali kwa nchi mwanachama wa EAC anayefadhili waasi wa M23.
mtu chake Count Capone Nyamizi zitto junior Bukyanagandi
Majeshi ya nchi zifuatazo yako Congo huko miaka na miaka na hayajaweza kuleta amani(Pakistan, India, Bangladesh, Brazil, Ukraine, Paraguay,SouthAfrica, Senegal, Egypty, Malawi, Niger, Morocco,Tanzania.
Sasa ngoja tuone Jeshi la Kenya litaweza kuleta utofauti wa Aina gani.
Kazi ya FIB Ni Nini Kwny MONUSCO?Hayo majeshi ni vikosi vya kulinda amani chini ya MONUSCO, vikosi hivyo haviruhusiwi kupigana vita na waasi, lakini vikosi vya EACRF wao wanaenda direct kupigana na waasi hivo hizo ni mission mbili tofauti, yaani TPDF ikipeleka kikosi kingine ndio kitakua vitani na sio kile kilichopo kule chini ya MONUSCO, ni kama kipindi kile SADCRF ilivyokwenda kumtandika M23 haikuhusiana na mission ya MONUSCO