- Thread starter
- #261
Kazi ya FIB Ni Nini Kwny MONUSCO?
Force Intervention Brigade, (MONUSCO)
Majukumu yake ni Armed Peacekeeping,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya FIB Ni Nini Kwny MONUSCO?
Kazi ya FIB Ni Nini Kwny MONUSCO?
Mkuu KDF as part of African Union Mission in Somalia (AMISOM) wamefanikiwa kwa % kubwa sana kupunguza vitisho vya Alshabab na vikundi vingine vidogo vidogo vya wapiganaji nchini Somalia kutokana na utofauti wa sera za wanasiasa Mogadishu. Mpaka sasa Kenya binafsi ana base 16 ambazo muda wote ziko standby alerted in Somalia. Sasa ukisema KDF Imeshindwa Somalia, watu wa medani tunakushangaa.Wameshindwa Somalia, watawaweza M23?
Hawawezi vita na nchi yeyote hao mbwa, siku zote huwa wanapigwa na kukimbilia Rwanda na kupewa hifadhi, Rwanda anawapa tena silaha wanarudi msituni, miaka yote ni hivyo, safari hii ni kufanya kama Nyerere alivyofanya kwa Iddi Amini, hata wakikimbilia Rwanda basi wafuatwe huko huko!This time Mimi natamani wasikimbilie popote pale zipigwe mpk mwisho tuone itakavyokua tu.
Mkuu KDF as part of Amison wamefanikiwa kwa % kubwa sana kupunguza vitisho vya Alshabab na vikundi vingine vidogo vidogo vya wapiganaji nchini Somalia kutokana na utofauti wa sera za wanasiasa Mogadishu. Mpaka sasa Kenya binafsi ana base 16 ambazo muda wote ziko standby alerted in Somalia. Sasa ukisema KDF Imeshindwa Somalia, watu wa medani tunakushangaa.
Binafsi nampa hongera sana rais wa Kenya kwa kutoa " IT'S A GO" kwa KDF kuwasaidia jeshi la Congo kwenye maeneo yote korofi especially Kivu na Goma.
Najua nafasi tunayoplay TPDF katika kuhakikisha amani ya Congo inakuwa restored
Umeandika kitu muhimu sana sana kuwadhihaki KDF kwanza ni kutokufahamu nini kinaendelea somalia hadi sasa na AMISOM wanafanya nini pale somalia,
WapigweeeeeeeeeeeeeHawawezi vita na nchi yeyote hao mbwa, siku zote huwa wanapigwa na kukimbilia Rwanda na kupewa hifadhi, Rwanda anawapa tena silaha wanarudi msituni, miaka yote ni hivyo, safari hii ni kufanya kama Nyerere alivyofanya kwa Iddi Amini, hata wakikimbilia Rwanda basi wafuatwe huko huko!
Sio kweli,FIB Ni offensive unit.Armed Peacekeeping.
Jamaa wakiwa wanaandamana unaweza kudhani wako serious Ile kishenziiiiii.Muandamanaji mwingine huyo hapo chini akifanya yake.
Waziri wao wa ulinzi alisema RDF Wana battalions na vifaa vingi kwny upande huo wa boarder ya Congo na liko pale Muda mrefu.Uganda na Rwanda waungane ili Buffer zone iwepo laa sivyo watashangaa Waasi wa Kihutu wametia timu.
Kagame na Mzee Museveni watembeze kichapo kitakatifu.
KDF wameshafunzwa mbio ndefu.
Ule mzozo wao ulishapatiwa ufumbuzi ili waungane Sasa?.....hao wote dhaifu kiuchumi hawawezi fadhili Vita za muda mrefu bila kufilisika.Uganda na Rwanda waungane ili Buffer zone iwepo laa sivyo watashangaa Waasi wa Kihutu wametia timu.
Kagame na Mzee Museveni watembeze kichapo kitakatifu.
KDF wameshafunzwa mbio ndefu.
Kama ndio hivyo mbona Rwanda haiachi kulalamika kwamba hao waasi ni kitisho kwake?.....kwanini wasiiache Drc ishughulike nao?.Nadhani ktk kitu waasi wa kihutu hawawezi kufanya Ni kujiingiza ndani ya Rwanda maana itakua imepatikana Justification ya kuwaibukia huko huko Congo na kufanya mambo yazidi kua complicated.
Mwakilishi wa wananchi ndie Amiri jeshi mkuu.Bunge letu halitaarifiwi hizo hela anatoa nani na wakirudi vilema nani anatoa fidia?.
Jeshi letu likienda kimya kimya yakitukuta yale ya Biafra?
Jeshi letu liwe na Baraka za Wananchi kwenye mission yoyote
Hili ndio maana linaitwa JW.
Apeleke KMKM.Mwakilishi wa wananchi ndie Amiri jeshi mkuu.
inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari