Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Subiri uone unadhani intelligence section ya KDF hawajachambua hali ilivo huko wanakoenda? Yaani unahisi wameamka tu na kwenda huko?
Mzee hata sisi tulienda Biafra yakatukuta pamoja na intelligence mimi naamini Kenya wameingizwa kwenye Trap labda waongee na Kagame kwanza.
 
KDF ina kamandi za Anga, maji na Ardhi, bajeti ya jeshi pekee almost 1 dollar billion, wana vifaa vya kisasa vya kila aina, askari wanaowengi kuliko yeyote east and central africa hivo wala RDF haiwezi kusogea kwa KDF huo ndio ukweli wenyewe
 
Mzee hata sisi tulienda Biafra yakatukuta pamoja na intelligence mimi naamini Kenya wameingizwa kwenye Trap labda waongee na Kagame kwanza.

Kagame ndio atawashauri nini sasa kwa mfano? Hivi unafahamu hakuna asiyejua uasi ndani ya Congo una mkono wa kigali?
 
Yule Waziri wa Ulinzi Msomali kamdanya Ruto KDF watauzwa kama njugu wewe ngoja uone.

Maiti za Wajaluo zitakuwa zinapishana kuzikwa.
πŸ˜„πŸ˜„ Na Hio mission naona kama Tz haijaipa shavu kivile,maana mission hii itaongozwa na boss wa KDF.

Nadhani wajomba hawataki kuongozwa na wakenya,labda kwa kua Special force ya JW ipo Kule Muda tu labda itajitegemea kivyake vyake lkn so far sijaona kama bongo imeipapatikia hio mission.

Kenya wamekua na kiherere sana this time, something is fishy.Kuna kitu wana malengo nacho.
 
KDF ina kamandi za Anga, maji na Ardhi, bajeti ya jeshi pekee almost 1 dollar billion, wana vifaa vya kisasa vya kila aina, askari wanaowengi kuliko yeyote east and central africa hivo wala RDF haiwezi kusogea kwa KDF huo ndio ukweli wenyewe
Tz wkt inapigana na Uganda Nani alikua na budget kubwa na vifaa vya kisasa?Na Nani alishindwa?

Kigezo Cha budget/vifaa vya kisasa hua Ni part tu ushindi lkn sio main factor.Na Ndio maana nikamwambia weka hapa mission/Vita Kenya ilizoshinda ili tuone u-superpower wake kulinganisha na UPDF.
 
Hawa wataenda kuzidisha balaa huko.Chisekedi alikuja Bongo kuomba msaada akatolewa nje.
 
Hata Uganda yumo na anavikosi vyake vinawatafuta Waasi.
Na hapohapo Wacongo wanaandamana kumlaani M7 anaesema Yuko huko Congo kupambana na ADF, Burundi nayo iliyochangia jeshi humo Inawatafuta waasi wake wa Red-Tabara.

Interesting kiukweli.
 
Na hapohapo Wacongo wanaandamana kumlaani M7 anaesema Yuko huko Congo kupambana na ADF, Burundi nayo iliyochangia jeshi humo Inawatafuta waasi wake wa Red-Tabara.

Interesting kiukweli.
Hata leo sisi wana jf tukisema twende DRC kuanzisha vikosi vya uasi wanatupokea tu, halafu Tanzania ikilalamika wanajiona wanaonewa

Very low IQ.
 
KDF ina kamandi za Anga, maji na Ardhi, bajeti ya jeshi pekee almost 1 dollar billion, wana vifaa vya kisasa vya kila aina, askari wanaowengi kuliko yeyote east and central africa hivo wala RDF haiwezi kusogea kwa KDF huo ndio ukweli wenyewe

Kamandi ya anga!
Hivi una habari UPDF ndio wana fighter jet za kisasa ukanda huu wakifuatiwa na TPDF au upo hapa kufurahisha genge?
 
Hata leo sisi wana jf tukisema twende DRC kuanzisha vikosi vya uasi wanatupokea tu, halafu Tanzania ikilalamika wanajiona wanaonewa

Very low IQ.
Hahah Sasa wacongo hayo maneno makali ndio hawayataki, wanataka kubembelezana kwa Saana na wapewe maneno laini.

Afu hata Tshisekedi alivyoingia madarakani haku appreciate mchango wa Tz Kule Congo,yeye alikua bize na Kenyatta Muda wote tofauti ilivyokua kwa Kabila Jr na Kenyatta amesaidia Sana ku-fast track Congo kujiunga na EAC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…