Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Subiri uone unadhani intelligence section ya KDF hawajachambua hali ilivo huko wanakoenda? Yaani unahisi wameamka tu na kwenda huko?
Mzee hata sisi tulienda Biafra yakatukuta pamoja na intelligence mimi naamini Kenya wameingizwa kwenye Trap labda waongee na Kagame kwanza.
 
Kama kigezo Ni mission za UN,then kwa takwimu za September,2022 Rwanda kwa africa ndio inaongoza kwa kua na wanajeshi wengi Kwny mission za UN na kwa dunia Ni ya 4 nadhani,ikiwa na wanajeshi 5752,Tz Ina 1487,Uganda 647,Burundi 774,Kenya 349.

Je,kwa takwimu hizo zitaifanya Rwanda kua na superior army kulinganisha na Wenzake kwa Sababu ya hizo mission za UN?

KDF ina kamandi za Anga, maji na Ardhi, bajeti ya jeshi pekee almost 1 dollar billion, wana vifaa vya kisasa vya kila aina, askari wanaowengi kuliko yeyote east and central africa hivo wala RDF haiwezi kusogea kwa KDF huo ndio ukweli wenyewe
 
Mzee hata sisi tulienda Biafra yakatukuta pamoja na intelligence mimi naamini Kenya wameingizwa kwenye Trap labda waongee na Kagame kwanza.

Kagame ndio atawashauri nini sasa kwa mfano? Hivi unafahamu hakuna asiyejua uasi ndani ya Congo una mkono wa kigali?
 
Yule Waziri wa Ulinzi Msomali kamdanya Ruto KDF watauzwa kama njugu wewe ngoja uone.

Maiti za Wajaluo zitakuwa zinapishana kuzikwa.
😄😄 Na Hio mission naona kama Tz haijaipa shavu kivile,maana mission hii itaongozwa na boss wa KDF.

Nadhani wajomba hawataki kuongozwa na wakenya,labda kwa kua Special force ya JW ipo Kule Muda tu labda itajitegemea kivyake vyake lkn so far sijaona kama bongo imeipapatikia hio mission.

Kenya wamekua na kiherere sana this time, something is fishy.Kuna kitu wana malengo nacho.
 
KDF ina kamandi za Anga, maji na Ardhi, bajeti ya jeshi pekee almost 1 dollar billion, wana vifaa vya kisasa vya kila aina, askari wanaowengi kuliko yeyote east and central africa hivo wala RDF haiwezi kusogea kwa KDF huo ndio ukweli wenyewe
Tz wkt inapigana na Uganda Nani alikua na budget kubwa na vifaa vya kisasa?Na Nani alishindwa?

Kigezo Cha budget/vifaa vya kisasa hua Ni part tu ushindi lkn sio main factor.Na Ndio maana nikamwambia weka hapa mission/Vita Kenya ilizoshinda ili tuone u-superpower wake kulinganisha na UPDF.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.

View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
Hawa wataenda kuzidisha balaa huko.Chisekedi alikuja Bongo kuomba msaada akatolewa nje.
 
Na hapohapo Wacongo wanaandamana kumlaani M7 anaesema Yuko huko Congo kupambana na ADF, Burundi nayo iliyochangia jeshi humo Inawatafuta waasi wake wa Red-Tabara.

Interesting kiukweli.
Hata leo sisi wana jf tukisema twende DRC kuanzisha vikosi vya uasi wanatupokea tu, halafu Tanzania ikilalamika wanajiona wanaonewa

Very low IQ.
 
KDF ina kamandi za Anga, maji na Ardhi, bajeti ya jeshi pekee almost 1 dollar billion, wana vifaa vya kisasa vya kila aina, askari wanaowengi kuliko yeyote east and central africa hivo wala RDF haiwezi kusogea kwa KDF huo ndio ukweli wenyewe

Kamandi ya anga!
Hivi una habari UPDF ndio wana fighter jet za kisasa ukanda huu wakifuatiwa na TPDF au upo hapa kufurahisha genge?
 
drc_forest.jpg

KDF wajue wanakutana na Mwitu mzito mpaka giza, hata Kifaru hakipenyi, ni mwendo wa mguu tu halafu wakipotea M23 ndio inaenda kupata silaha za bure.
 
Hata leo sisi wana jf tukisema twende DRC kuanzisha vikosi vya uasi wanatupokea tu, halafu Tanzania ikilalamika wanajiona wanaonewa

Very low IQ.
Hahah Sasa wacongo hayo maneno makali ndio hawayataki, wanataka kubembelezana kwa Saana na wapewe maneno laini.

Afu hata Tshisekedi alivyoingia madarakani haku appreciate mchango wa Tz Kule Congo,yeye alikua bize na Kenyatta Muda wote tofauti ilivyokua kwa Kabila Jr na Kenyatta amesaidia Sana ku-fast track Congo kujiunga na EAC
 
Back
Top Bottom