imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mzee hata sisi tulienda Biafra yakatukuta pamoja na intelligence mimi naamini Kenya wameingizwa kwenye Trap labda waongee na Kagame kwanza.Subiri uone unadhani intelligence section ya KDF hawajachambua hali ilivo huko wanakoenda? Yaani unahisi wameamka tu na kwenda huko?