Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hii ndiyo Special Military Operation tunayoiweza sasa 🙂wako na oparesheni maalumu ya 'kuzima moto' mlimani kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo Special Military Operation tunayoiweza sasa 🙂wako na oparesheni maalumu ya 'kuzima moto' mlimani kule
Wamfuate Rwanda huko huko kwake, yeye ndie analeta shida CongoHayawi hayawi sasa yamekuwa.
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.
View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
M23 ni jeshi la Maharania toka Rwanda walitumwa kuiba madiniWameshindwa Somalia, watawaweza M23?
Tell him...Aliekueleza wameshindwa Somalia ni nani? Unadhani Alshabaab wako kwenye uwanja wa vita kama walivyo M23?
Nasikia Chief Hustler akiondoa hisa zake binafsi kwenye business hapa kwetu, nchi inayumba kama mlevi wa Gongolamboto.Sio Madini tu na mabenki
**Hustler ana petrol stationsNasikia Chief Hustler akiondoa hisa zake binafsi kwenye business hapa kwetu, nchi inayumba kama mlevi wa Gongolamboto.
Wale ni chinjachinja na hupanga na kufanya matukio ya kigaidi. Nakumbuka kule Garissa, Kenya. Dah!Tell him...
Alshabaab wanavizia tu na kuishia kuua raia kamwe hawapigani vita.
Rwanda na Uganda wanafaidi wote madini ya DRCNdio maana mtoto wa museven swahiba wa kagame aliichimba mkwara kenya kumbe walishajua mpango kabambe na jinsi utakavyoteteresha maslahi yao
Bwana hiyo ndo jf wenye uelewa wamea wachache haelewi Kama m23 inaonekana wazi na imejipambanua wakati alshabab utendaji wake ukotofautiAliekueleza wameshindwa Somalia ni nani? Unadhani Alshabaab wako kwenye uwanja wa vita kama walivyo M23?
Hivi kweli wale vifaranga walioungua moto bahati mbaya pale boda ile miaka fulani-fulani, hawakuwa wa Chief Hustler kweli?**Hustler ana petrol stations
Uganda kila kijiji**
Kweli na aliingia east afrika kuficha uchuro wakeKagame ni kirusi ndani ya EAC
wewe na hili jeshi lenu,mngewaweza wasomali?Wameshindwa Somalia, watawaweza M23?
KDF walijiibia hadi wenyewe kwenye lile skendo la west gate!!Wa-Congo wajiandae kuibiwa upya.
Genta
Kenya washafanya Mambo Jana ulilalama Sana humu wamekusikia
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
M83 ni tofauti kabisa na Shababu wana silaha nzito ni kama Jeshi kabisa halafu mazingira ya DRC ni misitu mizito ngoja tuanze kuona masanduku ya Askari wa Kenya.