Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.

View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
Wamfuate Rwanda huko huko kwake, yeye ndie analeta shida Congo
 
Aliekueleza wameshindwa Somalia ni nani? Unadhani Alshabaab wako kwenye uwanja wa vita kama walivyo M23?
Bwana hiyo ndo jf wenye uelewa wamea wachache haelewi Kama m23 inaonekana wazi na imejipambanua wakati alshabab utendaji wake ukotofauti

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
**Hustler ana petrol stations
Uganda kila kijiji**
Hivi kweli wale vifaranga walioungua moto bahati mbaya pale boda ile miaka fulani-fulani, hawakuwa wa Chief Hustler kweli?

Juzi Moses Kuria (CS wa Biashara, Uwekezaji, na Viwanda) aliulizwa na counterpart wake wa Uganda kwa nini wakatae mayai kutoka Uganda wakati ni ya kuku wao wenyewe ambao Kenya iliwauzia wakiwa vifaranga?
 
M83 ni tofauti kabisa na Shababu wana silaha nzito ni kama Jeshi kabisa halafu mazingira ya DRC ni misitu mizito ngoja tuanze kuona masanduku ya Askari wa Kenya.

Once on a battle field kufa hakuepukiki hilo fahamu, kikubwa KDF ikumbuke tu M23 wana mashambulizi ya kuvizia kambini usiku hivo wakae macho au wawaulize TPDF walifanya nini kuwafurusha hao wahuni wa M23
 
Back
Top Bottom