Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki
Japo sikubaliani na wewe hapa ila binafsi nampongeza rais Ruto na nawaombea mapambano mema KDF. Tanzania pia tunapaswa kuwaandaa JWTZ kuelekea huko wamtie adabu Kagame
 
Mtoto wa Museveni alikuwa na hamu na KDF sasa huko Msituni ndio kutamu Wakenya watarudi bila Viatu.

Uganda iwasupply M23 tuone kama DRC na Kenya hawajaanza kulialia.

Nani atawasupply Kenya au wanategemea KenyanAirways?

Bora yule Mzee wa Kijaluo angeshinda uchaguzi Kenya isingeingizwa kwenye Trap kwenda kuua Vijana wake mwituni.
Jinsi Uganda inavyosupply jeshi lake Somalia kupitia Kenya , kenya itasupply jeshi lake kupitia Uganda na mseveni akidinda kenya itasupply jeshi lake kupitia Sudan ya kusini.
 
Msumbiji showdown uliiona? tuzime moto Mlimani mzee...tuwaanchie Nyang'au wakakurupushwe [emoji16][emoji23]
Hivi mpo nchi gani!!?? Inamaana hamjui kuwa TPDF ipo Congo miaka mingi nyuma na imefanya operations kibao za kijeshi kwa mafanikio!!?? Tatizo mnashinda mitandaoni kutwa kucha kujadili upumbavu.
 
Nawakumbusha EACRF kikosi cha kanda cha afrika mashariki kitachangiwa na majeshi kutoka mataifa ya Kenya, Burundi, Sudan Kusini na Uganda hayo ni maamuzi ya toka April hadi june yaliyoamuriwa na wakuu wa nchi wanachama, ili kuwafurusha waasi wa M23
 
Hivi mpo nchi gani!!?? Inamaana hamjui kuwa TPDF ipo Congo miaka mingi nyuma na imefanya operations kibao za kijeshi kwa mafanikio!!?? Tatizo mnashinda mitandaoni kutwa kucha kujadili upumbavu.

Ukifika Goma ukitaja jeshi la Tanzania hadi mke unapewa bure
 
Back
Top Bottom