Rais William Ruto: Mwaka huu tutaanza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery)

Rais William Ruto: Mwaka huu tutaanza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery)

Watu wanadhani uwepo wa hiyo refinery baasi mafuta tutakuwa tunapata kwa bei ya maji
Wewe baki ku like post za watu tu, usichangie, unatia aibu, hebu fikiria, kama leo mafuta tungekuwa tunanunua kutoka hapo kenya tungeujua msamiati wa strait of homus? Kutoka huko iran yanakotokea mafuta hakuna gharama ya usafirishaji? Hiyo gharama nani analipa? Je safari ya kutoka iran kuja Tz na safari ya kutoka kenya kuja bongo ipi ingekuwa na nafuu? Huoni kuwa kuwepo kwa mafuta jirani kutaondoa gharama kubwa za usafirishaji? Huoni kuwa hizo man made crisis zinazotokea huko middle east tungeziepuka? Huoni unafuu wa muda(delay time) rudi ukalale tu mkuu.
 
Back
Top Bottom