Rais yeyote yule ana Majukumu mazito sana wananchi tuungane kuwaombea marais wetu

Kwa hiyo unaishi kwa hisani ya Rais na siyo kwa sheria na taratibu? we muombe na familia yako mimi kwangu ni marufuku kuombea mtu nisiyemjua wala hana wafaida kwenye maisha yangu.
Ni jambo gani linalokukera kwasababu raisi ana mchango mkubwa sana usioweza kuhesabika
 
Ni jambo gani linalokukera kwasababu raisi ana mchango mkubwa sana usioweza kuhesabika
Hajanikera wala sina tatizo naye lakini usinilazimishe kumuombea kama vile pale anajitolea na wakati analipwa kwa kila kitu, kwanini nisimuombe Yesu ambaye ni mtenda haki?
 
Sawa, sasa tumeweza kuelewa kuwa maana yako kubwa ni kwamba unashauri kumsadiki Yesu mtenda haki, ni jambo jema sana 🤝
 
Nani kasema habari za kutofuata sheria na katiba?
 
Rais Ukicheza na HAKI za watu wako Islael anapita na wewe, mifano ipo hai.
Mkuu watu wasipopendezewa na unayoyatenda Juu yao kuna sala za aina mbili. Hata Wayahudi walifunga na kuomba sala mojawapo ya hizo. Akasome Matendo ya Mitume (Acts) 23:12.
 
Unaombeaje rais aliyeko madarakani kwa wizi wa kura?
 
Kila mtu ajiombee mwenyewe hata kama watu Kenda mia wakikuombea Huku li nafsi lako lipo kama la pharaoh ni ngumu mno tena sana kupokea Baraka.
 
Jiombee wewe na familia yako kwanza. Ya Kaizari Mungu anayajua.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hakuna Raisi yeyote hapa duniani ataacha kulaumiwa hii ni kwasababu anaongoza watu wa aina mbili:

(1) Watu wanaotoka ngome ya Mungu
(2) Watu wanaotoka ngome ya Shetani
Na kama raisi ametokea ngome ya shetani.Itakuwaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…