Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Kwani waukraini si wazungu wenzao? Inamaana linapokuja swala la USA interest hawaangalii sura wanakula tu! [emoji848]
Nilifikiri hizo mbanga wanatufanyia sisi waafrika na waarabu tu
 
Mbowe anawalipa nini CCM waliomtoa Jela?

Ameiuza Chadema????
Kawaahidi hata kaa ahangaike na uraisi. Kawaahidi cdm itakuwa inawazuga tu wafuasi wake. Watajifanya wanaweka mpinzani Lkn kishushi tu. pia nao wameomba wasipigwe virungu coz wao Hawana nia ya kweli yakupinganga na lidude sisiemu.
 
So, zele kukubali tu kuigeuza nchi yake uwanja wa vita ndio malipo hayo... Eeeh
 
Kwani waukraini si wazungu wenzao? Inamaana linapokuja swala la USA interest hawaangalii sura wanakula tu! [emoji848]
Nilifikiri hizo mbanga wanatufanyia sisi waafrika na waarabu tu
Usa wanachotazama ni maslahi yake iwe ya sasa au baadae
 
Kawaahidi hata kaa ahangaike na uraisi. Kawaahidi cdm itakuwa inawazuga tu wafuasi wake. Watajifanya wanaweka mpinzani Lkn kishushi tu. pia nao wameomba wasipigwe virungu coz wao Hawana nia ya kweli yakupinganga na lidude sisiemu.
Kwahiyo kwa kutokuwa na chama chenye nguvu cha upinzani unafaidika nini hapo mzee?
 
Kawaahidi hata kaa ahangaike na uraisi. Kawaahidi cdm itakuwa inawazuga tu wafuasi wake. Watajifanya wanaweka mpinzani Lkn kishushi tu. pia nao wameomba wasipigwe virungu coz wao Hawana nia ya kweli yakupinganga na lidude sisiemu.
Mtazamo wa Mbowe unapingana na wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…