Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Uvamizi wa Ukraine na harakati dhidi ya ushoga ni kama vimeonyesha hakuna tofauti kubwa sana kati ya wapinzani na chama tawala.
 
Hizo nchi ni makoloni ya Marekani hawana uhuru Tena wakujiamulia mambo Yao, na chumi ZAO zimeshkamanishwa na uchumi wa Marekani. Hufuata amri za Marekani
Kwahiyo kwako ni Bora hizo nchi zingeshkamanishwa kiuchumi na China pamoja na urusi kupitia yuan na rubu au sio?
 
Hizi ni ngano tu.
 
Huo ndiyo ukweli
Hata Hittler aliteka sio maeneo tu Bali nchi nyingi na hakufanikiwa kuwa hero. Akaishia kufia kwenye hand aki Kama panya tu.

Hukati kuwa Hero kwa kuvamia nchi zingine Bali kuwalinda watu wako kutoka kwa wavamizi.
 
Duh watu mnaichukia Ukraine kuliko Urusi iliyoshiriki kikao cha kueneza na kubariki ukolon Afrika , Ukraine ya watu haina baya na afrika ila waafrika wana ubaya nayo , kosa lao ni kivamiwa
Soma historia wewe Ukraine ni urusi .adui wa Ukraine ni huyo puppet wa nchi za West zelensky ambaye kapandikizwa kuivuruga Russia lazima wamnyooshe.
 
Ongeza scope ya uelewa wako kuna mambo bado hujayaelewa kuhusu hii vita. Urusi hapigani na Ukraine anapigana na USA, EU na NATO
 
1. Wewe ni Raia wa Ukraine?
2. Wewe ni Raia wa Urusi?
3. Wewe upo Umoja wa NATO?
4. Wewe ni Raia wa Mchambawima?
 
Unafahamu maana ya Buffer Zone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…