Splendid indeed!! Tell you what Bro, arrogance is going nowhere with this
dafty Comedian.
Kisaikolojia ninacho kiona kwa Zelensky: he has two choices to make namelly to either resign with dignity or desperately attempt to delay "the Inevitable" which won't be pretty for him 'am afraid, tatizo lake anavimbishwa kichwa sana na Biden, lakini Waarusi wakisha sema enough is enough Taifa la Ukraine lipapigika kweli kweli hapata kuwepo masuala ya undugu wala Uslav - nawakumubusheni kila siku kwamba jeshi la Urusi si lelemama na hakuna jeshi lolote la magharibi litajiingiza kuisaidia Ukraine, hakuna, mataifa ya maghararibi yatabaki kwenye makongamano ya kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Urusi yet again, hapakuwepo na jipya.