Rais Zelenskyy amualika Rais Xi Jinping aje Kyiv

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii ni baada ya China kukatalia mbali ombi la kuipa Urusi msaada wa silaha, ombi lilikataliwa juzi pale rais wa Uchina alitembelea Urusi.

---

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Wednesday that he had invited Chinese President Xi Jinping to visit his country.

"We are ready to see him here," Zelenskyy told the Associated Press.

Xi, who recently visited his "dear friend" Russian President Vladimir Putin on a state visit to Moscow, has not spoken with Zelenskyy since Russia launched its invasion on February 24, 2022.

"I want to speak with him. I had contact with him before the full-scale war. But during all this year, more than one year, I didn't have," said Zelenskyy.

The Ukrainian president also suggested that despite China's clear alliance with Russia, Beijing had not given Vladimir Putin what he wanted during the recent Moscow meeting, namely weapons and ammunition to replace dwindling Russian stockpiles.

 
So kajibiwa vipi anakuja au maana simu zake zimegoma kupokelewa
Alafu vipi jamaa anataka na msaada kutoka china maana west wameshindwa au sijaelewa?
 
So kajibiwa vipi anakuja au maana simu zake zimegoma kupokelewa
Alafu vipi jamaa anataka na msaada kutoka china maana west wameshindwa au sijaelewa?

Haya ni masuala ya itifaki hayajadiliwi Kitandale Tandale, huyo Mchina hana msaada kwenu tena amewagomea, kukaribishwa kwake Kyiv ni kuendelea kumzuia asitoe msaada kwa Urusi.
 
Hakuna alie karibishwa hapo jamaa analazimisha mualiko na mpaka sasa hakuna tamko lolote kutoka china.

So ni matumaini hewa hayo mkuu.

Mlimpa masaa 24 aondoke Kyiv, ila mbabe bado yupo tena anaalika wakuu kutokea kote mpaka kwa wanaowapa nyie misaada...takbir
 
Eti "dear friend"! Xi na Putin ni ma-dear? Sio ma-comrades tena? The world has really changed.
 
Haya ni masuala ya itifaki hayajadiliwi Kitandale Tandale, huyo Mchina hana msaada kwenu tena amewagomea, kukaribishwa kwake Kyiv ni kuendelea kumzuia asitoe msaada kwa Urusi.
Wewe hayo yote imeyajuaya, itifika zipi inazozizingumzia, hivi hapo kwemu Kenya kuna hata chuo kimoja cha Udiplomasia?

Zungumzia ya kwenu Kariobangi, Kibera na masuala ya jua kali na maadamano nchini mwenu - haya ya Tandale yanakuhusu nini, zingumza yanayo husu Taifa lako la Kenya masuala ya Tanzania yanakuhusu nini?

Mara zote ukikosa hoja unaishia jumping from tree to tree - we Masuala ya Xi na Zelensky kama yapo kweli yanakuhusu nini??

Yaani huitaji akili nyingi kigunduwa kwamba hivi sasa Zelensky maji yamemfika shingoni ndio maana anahaha kumtafuta Xi kwa Udi na uvumba ili aokoe jahazi, lakini watu kama nyinyi suala hili hamlioni mnalichu kulia kimzaa mzaa vile as if Zelensky amelazimika kumkaribisha Xi kwenda kuhudhulia a Scout Jamboree!!
 
Ukiona mpaka ameanza kutafuta msaada wa china ambayo inajulikana kuwa ni chawa wa Urusi basi jua maji yako shingoni.
 
Na wewe ni Mtanzania kweli au raia kutoka nchi jirani za central Africa???
Kaka/dada umenichekesha kweli aise, hivi uko baa uko kwenu goma au ituri?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kubwa jinga hivi vihabari vyako vya kuokoteza sijui unavitoaga wapi,, na je vipi yale maandamano yenu kenya mmefikia wapi? Kuna kadalili kokote ka Ruto kujiuzulu au?
Mana haya ndo unayoyajua ila utaki tu kutujuza humu jf,,,
 
Mlimpa masaa 24 aondoke Kyiv, ila mbabe bado yupo tena anaalika wakuu kutokea kote mpaka kwa wanaowapa nyie misaada...takbir
Yaani huna habari kwamba bado anaishi kutokana ma maombi rasmi ya Waziri mkuu wa Israel aliye muomba/msihi Putin hasimudhuru Zelensky - Zelensky anatunisha misuli akiwa mbele ya TV Camera maana anajuwa wazi kwamba Waziri mkuu wa Israel amekwisha mwakikishia Zelensky kwamba Putin hana mpango wa kumtoa pumzi Zelensky his Polical rhetoric against Putin notwithstanding.
 
Kama unafikiri tunamuonea jaribu kupitia Jibu #14 lana Nyonzo bin Mvule hapo juu.
 
Bado unaandika pumba unaweza kuleta link ya habari kutoka urusi inayo onesha kua alipewa masaa 24?

Hehehe yaani mnanishangaza sana wafuasi wa "mtume mpya Putin", huwa hamufuatilii chochote, mnamuabudu tu.
 

Hehehe jameni mbona msiwe hata creative kwenye huu uwongo wenu licha ya mwezi huu mnaoshindia njaa....
 

Hehehe Liinsha lote hili umeandikia nani, mbona huwa unateseka hivi, nani ana muda wa kusoma uharo wote huu, nimewaambia Mchina mliyekua mnamtegemea amealikwa na kama kawaida itifaki za kidiplomasia lazima zifuatwe....
 
Mwishowe atamalizia na kumualika Putin, na hapo ndipo utakapokuwa mwisho wa mgogoro.


Maana Russia walichofanikiwa ni kutumia Military Science yao mapema baada ya kuwasoma Westerners kuwa walitaka kurefusha vita ili iichoshe Russia.. uzuri nao waliligundua hilo na kuingiza kampuni tu ya ulinzi shirikishi (Wagner) huku ikijilipa yenyewe kwa wanavyoteka huko.So the whole NATO +US wanapigana na kampuni ya ulinzi shirikishi tu na inawatoa jasho na pale Western na US wanapozidi kidogo Putin huwapunguza kasi kwa Hypersonic kidogo kisha Wagner huendelea huku wakijinufaisha wenyewe na wanachokuta mbele yao.


Soon Zele ataanza kupoteza mvuto kwa Westerners na US maana nao washachoshwa na mbinu za Mrusi.
 

Sayansi gani Urusi walitumia kwa ambavyo wamechoshwa na kainchi kadogo hapo jirani, hadi aibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…