Rais Zelenskyy amualika Rais Xi Jinping aje Kyiv

Rais Zelenskyy amualika Rais Xi Jinping aje Kyiv

Unajua hela ya china ndio inakwenda kuwa mbadala wa dola ya kimarekani?? BRICS wameamua watumie pesa ya china badala ya dola alafu wewe kubwa jinga bado unawaza mambo ya sanctions. KUBWAJINGA SANCTIONS IMESHATAFUTIWA DAWA

Hilo haliwezekani, sijui huu uwngo huwa mnaaminishana wapi....mnachekesha sana
 
Back
Top Bottom