Harvard
Member
- Mar 29, 2023
- 56
- 61
Sema Wagner ndivyo wasomi tunavyoelewa kwakuwa wao ndiyo wapo rasmi kule. Hivyo punguza kuitaja sana Urusi sababu hawajapeleka jeshi lao rasmi kule au ukiona vipi unaweza tumia neno (Mamluki wa Urusi) ili walau uwe unaeleweka kuwa hao Mamluki (Wagner) wana mahusiano ya karibu na Urusi..Hivyo kuanzia leo ni vyema ukayatumia hayo maneno mawili "either Wagner or Mamluki wa Urusi" nasiyo kuitaja nchi wakati wao kwao wanamkataba tu na kikundi cha ulinzi shirikishi.. Mfano; munaweza mukawaalika pia kwenu ila pia nakufundisha musiseme tumekodi Urusi, wateje jina lao au sema tumekodi Mamluki wa Urusi na siyo "Urusi"Sayansi gani Urusi walitumia kwa ambavyo wamechoshwa na kainchi kadogo hapo jirani, hadi aibu...
Ingawa mimi ni mwanacha mpya ila naona wewe post zako kidogo unashindwa namna ya mtumizi ya lugha.