Sema Wagner ndivyo wasomi tunavyoelewa kwakuwa wao ndiyo wapo rasmi kule. Hivyo punguza kuitaja sana Urusi sababu hawajapeleka jeshi lao rasmi kule au ukiona vipi unaweza tumia neno (Mamluki wa Urusi) ili walau uwe unaeleweka kuwa hao Mamluki (Wagner) wana mahusiano ya karibu na Urusi..Hivyo kuanzia leo ni vyema ukayatumia hayo maneno mawili "either Wagner or Mamluki wa Urusi" nasiyo kuitaja nchi wakati wao kwao wanamkataba tu na kikundi cha ulinzi shirikishi.. Mfano; munaweza mukawaalika pia kwenu ila pia nakufundisha musiseme tumekodi Urusi, wateje jina lao au sema tumekodi Mamluki wa Urusi na siyo "Urusi"Sayansi gani Urusi walitumia kwa ambavyo wamechoshwa na kainchi kadogo hapo jirani, hadi aibu...
Naona unajipa matumaini hewa kwamba China haipo pamoja na Russia. Kwa taarifa yako China na Russia wana mpango kabambe sana wa kumfelisha USA ktk masuala ya kuitawala duniaHii ni baada ya China kukatalia mbali ombi la kuipa Urusi msaada wa silaha, ombi lilikataliwa juzi pale rais wa Uchina alitembelea Urusi.
---
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Wednesday that he had invited Chinese President Xi Jinping to visit his country.
"We are ready to see him here," Zelenskyy told the Associated Press.
Xi, who recently visited his "dear friend" Russian President Vladimir Putin on a state visit to Moscow, has not spoken with Zelenskyy since Russia launched its invasion on February 24, 2022.
"I want to speak with him. I had contact with him before the full-scale war. But during all this year, more than one year, I didn't have," said Zelenskyy.
The Ukrainian president also suggested that despite China's clear alliance with Russia, Beijing had not given Vladimir Putin what he wanted during the recent Moscow meeting, namely weapons and ammunition to replace dwindling Russian stockpiles.
Pale Kremlin wana tutusa limekaa Ikulu, hakawii kusema "ole wake China aweke mguu ndani ya Kyiev"Haya ni masuala ya itifaki hayajadiliwi Kitandale Tandale, huyo Mchina hana msaada kwenu tena amewagomea, kukaribishwa kwake Kyiv ni kuendelea kumzuia asitoe msaada kwa Urusi.
Ukiona mpaka ameanza kutafuta msaada wa china ambayo inajulikana kuwa ni chawa wa Urusi basi jua maji yako shingoni.
Endelea kuburudika tu na zilipendwa, sasahivi ni mwendo wa kuwafukunyua kwenye mashimo yao na hypersonic missileUle msafara wa magari zaidi ya 100 ya kivita kuelekea Kiev ulikwama wapi?!
Maana bado Zelensky anadunda tu hapo Kiev huku akialika viongozi wa dunia kuja kumtembelea
Hizo hypersonic zimeshindwa kumuondoa ze comedy Zelensky hapo Kiev.Endelea kuburudika tu na zilipendwa, sasahivi ni mwendo wa kuwafukunyua kwenye mashimo yao na hypersonic missile
Naona unajipa matumaini hewa kwamba China haipo pamoja na Russia. Kwa taarifa yako China na Russia wana mpango kabambe sana wa kumfelisha USA ktk masuala ya kuitawala dunia
Siku ambayo rais wa China alipomtembelea Putin, West walifanya makosa ya kuandaa safari ya gafla ya kiongozi wa Japan kumtembelea Zelensky ili ku undermine ziara ya rais wa China na Zelensky anafahamu Japan inatumika na merekani kuihujumu china. Rais wa China sio mpumbavu
Sema Wagner ndivyo wasomi tunavyoelewa kwakuwa wao ndiyo wapo rasmi kule. Hivyo punguza kuitaja sana Urusi sababu hawajapeleka jeshi lao rasmi kule au ukiona vipi unaweza tumia neno (Mamluki wa Urusi) ili walau uwe unaeleweka kuwa hao Mamluki (Wagner) wana mahusiano ya karibu na Urusi..Hivyo kuanzia leo ni vyema ukayatumia hayo maneno mawili "either Wagner or Mamluki wa Urusi" nasiyo kuitaja nchi wakati wao kwao wanamkataba tu na kikundi cha ulinzi shirikishi.. Mfano; munaweza mukawaalika pia kwenu ila pia nakufundisha musiseme tumekodi Urusi, wateje jina lao au sema tumekodi Mamluki wa Urusi na siyo "Urusi"
Ingawa mimi ni mwanacha mpya ila naona wewe post zako kidogo unashindwa namna ya mtumizi ya lugha.
Putini aliombwa na waziri mkuu wa Israeli kuwa asimuue Zelensky na alimuahidi hatamgusa, tunataka ashuhudie nguvu ya Russia na ajifunze kituHizo hypersonic zimeshindwa kumuondoa ze comedy Zelensky hapo Kiev.
Bwana mdogo tu tena mchekeshaji lakini bado amemdindia Jasusi Putin na majeshi yake.
Wewe jamaa jinga sana, China yupo pamoja na Russia ktk hiyo operation ya Ukraine na vilevile operation ya Taiwan china na Russia watakuwa pamoja. Hayo mambo sio ya kukurupuka yapo culculated na watu wenye akili kisoda kama wewe hamuwezi kuona kitu hapoChina hawezi kuthubutu maana anajua mziki wake, kikubwa anachokifanya sasa ni kufyonza raslimali za Urusi huku akijifanya rafiki wa karibu, lakini hawezi kuwasaidia kwenye huu mtanange, mliingia cha kike.
Wewe jamaa jinga sana, China yupo pamoja na Russia ktk hiyo operation ya Ukraine na vilevile operation ya Taiwan china na Russia watakuwa pamoja. Hayo mambo sio ya kukurupuka yapo pculculated na watu wenye akili kisoda kama wewe hamuwezi kuona kitu hapo
Marekani na NATO yake wamepigwa na kitu kizito sana hawakutegemea kama Russia bado atakuwa imara kiuchumi na kijeshi kulingana na vikwazo walivyoviweka
Kwa Akili zako za kiitifaki huko Milembe unaamini kuwa china atamsikiliza zele kuliko Putin? Hivi una habari kama teknolojia nyingi anazotumia mchina hasa kwenye ndege vita na makombora ni Kwa msaada wa urusi? Mfano Lori aina ya JIEFANG wengi waliita Jeifongo ni teknoloj ya urusi kupitia Lori aina ya ZIL yaani mkombozi na hata wachina walikopi jina kwani hiyo JIEFANG maana yake ni MkomboziHaya ni masuala ya itifaki hayajadiliwi Kitandale Tandale, huyo Mchina hana msaada kwenu tena amewagomea, kukaribishwa kwake Kyiv ni kuendelea kumzuia asitoe msaada kwa Urusi.
Kwa mbwembwe ulizomkuja nazo unaonekana bogus huna hata ustaarabu na hujui chochote Kwan hata shetwani Hana ubavu wa kuinyonya urusi sembuse mchina anaesaidiwa teknolojia Kila uchao hivi una habari kwamba hata usafirishaji wa Wana anga wa china kwenda huko juu ni Kwa usimamizi wa wataalam kutoka huko urusi kituo Cha COSMODROME?Mbona unakua mpumbavu au njaa ya swaumu ya mwarabu inakuchanganya, China hawezi kujiingiza kwenye huo ujinga, tena anafyonza raslimali za Warusi kwa kujifanya ukaribu na Warusi.
Kwa Akili zako za kiitifaki huko Milembe unaamini kuwa china atamsikiliza zele kuliko Putin? Hivi una habari kama teknolojia nyingi anazotumia mchina hasa kwenye ndege vita na makombora ni Kwa msaada wa urusi? Mfano Lori aina ya JIEFANG wengi waliita Jeifongo ni teknoloj ya urusi kupitia Lori aina ya ZIL yaani mkombozi na hata wachina walikopi jina kwani hiyo JIEFANG maana yake ni Mkombozi
Kwa mbwembwe ulizomkuja nazo unaonekana bogus huna hata ustaarabu na hujui chochote Kwan hata shetwani Hana ubavu wa kuinyonya urusi sembuse mchina anaesaidiwa teknolojia Kila uchao hivi una habari kwamba hata usafirishaji wa Wana anga wa china kwenda huko juu ni Kwa usimamizi wa wataalam kutoka huko urusi kituo Cha COSMODROME?
Unajua hela ya china ndio inakwenda kuwa mbadala wa dola ya kimarekani?? BRICS wameamua watumie pesa ya china badala ya dola alafu wewe kubwa jinga bado unawaza mambo ya sanctions. KUBWAJINGA SANCTIONS IMESHATAFUTIWA DAWAChina hamsklizi yeyote maana hata mwenyewe hana jeuri hiyo, hawezi akamsaidia Urusi maana akithubutu analo, Urusi imekua ikibembeleza China sana ila sasa Zele anataka kuwaonyesha hata huyo Mchina mnayeenda kuomba msaada anaweza akaalikwa Kyev.
Wewe mama mdogo sio utaki ni hautakiKubwa jinga hivi vihabari vyako vya kuokoteza sijui unavitoaga wapi,, na je vipi yale maandamano yenu kenya mmefikia wapi? Kuna kadalili kokote ka Ruto kujiuzulu au?
Mana haya ndo unayoyajua ila utaki tu kutujuza humu jf,,,