Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dube anachezea timu za Tanzania kama ilivyokuwa kwa Fei, Inasemekana ni timu ya hapa hapa Tz inamtaka kama ilivyokuwa kwa Fei, ni ishu ile ile tu.Shida ni raisi hataingilia hilo suala,
Fei ni mbongo pia mzenji ndio mana alisaidiwa,
Hao wengine mzee watakula kwa sheria za TFF
Jiongeze wew,Dube anachezea timu za Tanzania kama ilivyokuwa kwa Fei, Inasemekana ni timu ya hapa hapa Tz inamtaka kama ilivyokuwa kwa Fei, ni ishu ile ile tu.
Azam wana mshipa wa kumkatalia mama ?
Unadhani Rais atamtetea Dube, La Hasha ! Rais atawatetea Yanga kama alivyowahi kuwasaidia Azam, Lengo ni kubalance mzani asionekane aliwapendelea Azam peke Yao.Jiongeze wew,
Unadhani Samia atamtetea Dube ? Kisa anatakiwa na Yanga ?Fei kijana wa bongo na zaidi kijana wa Kizimkaz, huyo dube hana hivyo vitu
Endelea kusubiri,Unadhani Rais atamtetea Dube, La Hasha ! Rais atawatetea Yanga kama alivyowahi kuwasaidia Azam, Lengo ni kubalance mzani asionekane aliwapendelea Azam peke Yao.
Raisi huyu aliewaalika Yanga mpaka Ikulu na kununulia mashabiki tiketi kibao + kuwapa ndege ya kwenda na kurudi bure ?Endelea kusubiri,
Raisi akiingilia hili swala nakupa laki
sio rais wetu,akija rais wa zimbabwe akaomba?Kwa Fei ilikubali, kwa Dube itakataa ?
Hili ni suala la timu za ndani ya Tanzania kama ilivyokuwa kwa Fei, ni suala la timu zaidi kuzidi mchezaji, rais wa Zimbabwe hahusiki hapasio rais wetu,akija rais wa zimbabwe akaomba?
Hao ni wakenya, huku ni Tanzania, nchi mbili tofauti kabisaRais aliingilia hili swala kijanja sana akijifanya kama anatoa ushauri, kumbe ilikua kama amri... TFF wawe makini sana , sheria za FIFA zipo wazi kabisa ni kosa kubwa sana serikali kuingilia mambo ya mpira.
Kenya walijifanya wajuaji serikali ikaingilia mambo ya mpira na kuvunja shirikisho la mpira wakapigwa adhabu kutojihusisha na soka la kimataifa kwa miaka miwili, timu ya taifa Wala club
TFF wakifanya ujinga kuingiliwa na serikali hizi Simba na Yanga zitaliwa kichwa kucheza CAF ni swala la muda tu