Raisi akiingilia suala la Dube kama alivyofanya Kwa Fei Toto, Azam waliowahi kusaidiwa tatizo linalofanana wana ujasiri wa kumgomea ?

Shida ni raisi hataingilia hilo suala,
Fei ni mbongo pia mzenji ndio mana alisaidiwa,
Hao wengine mzee watakula kwa sheria za TFF
Dube anachezea timu za Tanzania kama ilivyokuwa kwa Fei, Inasemekana ni timu ya hapa hapa Tz inamtaka kama ilivyokuwa kwa Fei, ni ishu ile ile tu.

Azam wana mshipa wa kumkatalia mama ?
 
Jiongeze wew,
Unadhani Samia atamtetea Dube ? Kisa anatakiwa na Yanga ?Fei kijana wa bongo na zaidi kijana wa Kizimkaz, huyo dube hana hivyo vitu
 
Unadhani Rais atamtetea Dube, La Hasha ! Rais atawatetea Yanga kama alivyowahi kuwasaidia Azam, Lengo ni kubalance mzani asionekane aliwapendelea Azam peke Yao.
 
Endelea kusubiri,
Raisi akiingilia hili swala nakupa laki
 
Rais aliingilia hili swala kijanja sana akijifanya kama anatoa ushauri, kumbe ilikua kama amri... TFF wawe makini sana , sheria za FIFA zipo wazi kabisa ni kosa kubwa sana serikali kuingilia mambo ya mpira.

Kenya walijifanya wajuaji serikali ikaingilia mambo ya mpira na kuvunja shirikisho la mpira wakapigwa adhabu kutojihusisha na soka la kimataifa kwa miaka miwili, timu ya taifa Wala club

TFF wakifanya ujinga kuingiliwa na serikali hizi Simba na Yanga zitaliwa kichwa kucheza CAF ni swala la muda tu
 
Endelea kusubiri,
Raisi akiingilia hili swala nakupa laki
Raisi huyu aliewaalika Yanga mpaka Ikulu na kununulia mashabiki tiketi kibao + kuwapa ndege ya kwenda na kurudi bure ?
 
sio rais wetu,akija rais wa zimbabwe akaomba?
Hili ni suala la timu za ndani ya Tanzania kama ilivyokuwa kwa Fei, ni suala la timu zaidi kuzidi mchezaji, rais wa Zimbabwe hahusiki hapa
 
Rais aliingilia hili swala kijanja sana akijifanya kama anatoa ushauri, kumbe ilikua kama amri... TFF wawe makini sana , sheria za FIFA zipo wazi kabisa ni kosa kubwa sana serikali kuingilia mambo ya mpira.

Kenya walijifanya wajuaji serikali ikaingilia mambo ya mpira na kuvunja shirikisho la mpira wakapigwa adhabu kutojihusisha na soka la kimataifa kwa miaka miwili, timu ya taifa Wala club

TFF wakifanya ujinga kuingiliwa na serikali hizi Simba na Yanga zitaliwa kichwa kucheza CAF ni swala la muda tu
Hao ni wakenya, huku ni Tanzania, nchi mbili tofauti kabisa

Kenya ni kawaida kuona hata wakuu wa mikoa wanakataa maagizo ya Raisi wazi wazi.... Huku Tanzania hali ni tofauti kabisa, Raisi ni kama Mfalme / Malkia. Akisema imeenda hio, timu zenyewe ni ccm, nani wa kumbishia ?
 
Back
Top Bottom