Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"

Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Nimeiingia google kutafuta maana ya neno hili :

frustration

noun

1. the feeling of being upset or annoyed as a result of being unable to change or achieve something.

2. the prevention of the progress, success, or fulfilment of something.

Naona maana ya kwanza ina uzito sana hapa.

Tafadhali tumsaidie Mheshimiwa Raisi.
 
Ana Frustrations jinsi akiwaza Wanyonge wanavyotaabika na jinsi ya kuondoa kero hizo
 
laana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration
Rais Rousevelt, Linkolin na Obama wa Marekani, Golverchiev na Tony Blair waliwahi kutumia neno hili, je mbona hakuna kumbukumbu zote toka kwa Wananchi wa nchi zao kuwalaumu kwamba wametiwa aibu? Huenda wewe ni mtu mwenye uelewa mdogo saaana au ni mpumbavu kiasi kwamba hujui kama hujui.
 
laana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration
Tanga balaa…! albadir lisomwalo huko balaa! Ndio maana likazuiwa hadharani lakini likapigwa mioyoni mwa watu! Matokeo yake FRSTLTN! "Amenituma nikupe pole sana" "Kamwambie asante sana nashukuru"
 
Huwezi kuongoza taifa masikini hakuna maji, hakuna barabara, madawa, elimu, nk halafu ukakosa frustrations. Wenzake kina Trump, Merkel et al mambo yao safi. Wao wana budget surplus wakati huku kwetu unaongoza nchi yenye budget deficit! Kuongoza nchi za ulaya ni rahisi sana kuliko kuongoza nchi maskini za kiafrika!
 
Tukifanya mzaha Wa kumbeza mzee uyu chadema NA ukawa mtatupeleka pabaya
Endeleeni kujadili yasiyo NA tija mitandao
The end justify ze means
 
Tukifanya mzaha Wa kumbeza mzee uyu chadema NA ukawa mtatupeleka pabaya
Endeleeni kujadili yasiyo NA tija mitandao
The end justify ze means
Lakini si alisema pale pandarini kuwa anausongo wa mawazo?

Cheza na albadir wewe



Swissme
 
Back
Top Bottom