Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"

Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"

Huwezi kuongoza taifa masikini hakuna maji, hakuna barabara, madawa, elimu, nk halafu ukakosa frustrations. Wenzake kina Trump, Merkel et al mambo yao safi. Wao wana budget surplus wakati huku kwetu unaongoza nchi yenye budget deficit! Kuongoza nchi za ulaya ni rahisi sana kuliko kuongoza nchi maskini za kiafrika!


Usongo wa mawazo

Tetetetetete


Swissme
 
Furasituleishn nyingine za KUJITAKIA. Alienda KUFANYA NINI Bandarini? Ni kazi yake? Kazi za wenzake anawishi kuwa ni zake! Ajifunze kwa Baba Nkwe wa Musa (wa kwenye Bible). Hata Musa alishawahi kuchanganyikiwa. Awaaache Wasaidizi wake wafanye kazi zao.
 
Nchi ilikuwa pabaya sana kuliongoza lazima likuchanganye hata kikwete alisumbuka sana tuwe wakweli ndio maana akawa anajiondokea kwenda safari za kila siku ikiwa ni jinsi ya kujipumzisha kusaikolojia
kwa hilo kama nchi ilikuwa pabaya amebadilisha nini kilichokusaidia toka amekuwa rais
 
Wewe WACHA uwongo, kama hujui lugha jifunze. Frustration maana yake ni kuchoka kuelimisha watu wasioelewa. Ikiwa pamoja na wajinga, wezi , wavivu, wanaozubaa, hata ukiwaelezea hawaelewi. Na watu kama wewe wasiojuwa ukweli na uwongo. Na ndiyo tuko wengi Tanzania. Ni vigumu sana kuongoza wavivu na wajinga. Watu wenye uniform na manyota ya vyeo wanahojiwa majibu yao hawajui kitu, Na hawa ndiyo Viongozi, yes that is why he is frastrated. Ni kama unongea na watoto, ,ni ma baba wazima Wenye vyeo, lakini hawajui kitu, vedio hiyo imeonyesha ujinga wa Viongozi. Aibu kubwa..
basi kwa maana hii walimu wote duniani wana frustration maana wanafunzi wao huwa hawaelewi,hii tafsi yako ya neno frustration kwa kiswahili nadhani inapatikakana kwenye kamusi ambayo umeiandika wewe mwenyewe
 
Mema anayotutendea raid uyu alafu mnavyombeza ivo
Nawasikitikia sana

Mnataka akimaliza muda wake ndo mseme
Aliyekuwepo kabla ndo bora kuzidi aliyepo
HAIWEZEKANI
 
imagine almost 49milion wako nyuma yake na anasema and frustration cku ataachilia nyuklia kama Yule wa north korea
 
UFrustration haina umbali sana na ukichaa na ukiwa frustrated unaweza ukawa kichaa so may be he is over frustrated tumuombee huyu jamaa ili wote tusije tukawa frustrated kama yeye
 
Subiri 2020 mtaendelea kusoma namba tu,endeleeni kukariri hiyo frustration itawasaidia sana
 
Nimeiingia google kutafuta maana ya neno hili :

frustration

noun

1. the feeling of being upset or annoyed as a result of being unable to change or achieve something.

2. the prevention of the progress, success, or fulfilment of something.

Naona maana ya kwanza ina uzito sana hapa.

Tafadhali tumsaidie Mheshimiwa Raisi.
Ni kweli yule ndugu siyo mzima!
 
Back
Top Bottom