crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Ma Rais wengi tu wamewahi kusema hivyo. Si muda mrefu Trump naye kasema hivyo. Kuhusu limition ya power yake kama Rais ku control US justice Department hasa FBI. Wapi? Interview kwenye O’Connor show.laana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration
Kwahiyo, very politely nakuomba, Acha kuanika ujinga wako uliojaliwa hapa jukwaani.