Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"

Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"

laana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration
Ma Rais wengi tu wamewahi kusema hivyo. Si muda mrefu Trump naye kasema hivyo. Kuhusu limition ya power yake kama Rais ku control US justice Department hasa FBI. Wapi? Interview kwenye O’Connor show.
Kwahiyo, very politely nakuomba, Acha kuanika ujinga wako uliojaliwa hapa jukwaani.
 
laana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration
hahahahahahahahahahaha nimeheka kinyama mkuu... naomba nikakojoe nilale sasa, eti atakimbia ikulu watu mnamaneno kwa kweli
 
laana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration

Alishindwa kusema tu kuna fuse haziko vizuri,hahaaaa tunalo hill had 2020
 
bavicha hawataki kufanya kazi halafu wanataka mambo mazuri at the same time
 
Rais Rousevelt, Linkolin na Obama wa Marekani, Golverchiev na Tony Blair waliwahi kutumia neno hili, je mbona hakuna kumbukumbu zote toka kwa Wananchi wa nchi zao kuwalaumu kwamba wametiwa aibu? Huenda wewe ni mtu mwenye uelewa mdogo saaana au ni mpumbavu kiasi kwamba hujui kama hujui.
Ya akina Lincoln hayatuhusu. Sisi tupambane na Hali yetu tu.
 
Baada ya kusikia magari yaliyokamatwa yalitaka kukwepa kodi kwa mgongo wa mtoto wake mpendwa anayemwamini sana kwa nini asichanganyikiwe, kikulacho ki nguoni mwako, ilibidi TPA wamtaje PM kuhusika ili kuokoa jahazi la mtoto pendwa chezea NAS, lazima uwe na frustrations.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Huwezi kuongoza hii nchi ukakosa frustration. Ukigeuka ushaibiwa, ukisukuma hili haliendi. Hata hivyo anajitahidi sana.

Najuwa wa suti nyeusi mko hapa, mwambieni mheshimiwa atutolee yule binti kule nyuma ya ndondo. Aliisha dhalilishwa kingono akiwa mdogo tena anapewa adhabu ya pili.

Naamini ujumbe huu utafika.
 
Nimeiingia google kutafuta maana ya neno hili :

frustration

noun

1. the feeling of being upset or annoyed as a result of being unable to change or achieve something.

2. the prevention of the progress, success, or fulfilment of something.

Naona maana ya kwanza ina uzito sana hapa.

Tafadhali tumsaidie Mheshimiwa Raisi.
Hakumaanisha hii, alisema frustration binafsi sio za kikazi
 
Ana Frustrations jinsi akiwaza Wanyonge wanavyotaabika na jinsi ya kuondoa kero hizo
Sio kweli, dhamiri inamsuta sana, unajua unapovunja haki za binadamu na kuvuna sheria na katiba huwezi kubaki salama. Sidhani kama ana wazo la wanyonge kwenye akili yake.
 
Nimeiingia google kutafuta maana ya neno hili :

frustration

noun

1. the feeling of being upset or annoyed as a result of being unable to change or achieve something.

2. the prevention of the progress, success, or fulfilment of something.

Naona maana ya kwanza ina uzito sana hapa.

Tafadhali tumsaidie Mheshimiwa Raisi.

Hasikii la mtu hata viongozi wa kidini
 
Back
Top Bottom