Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Walitumia wapi weka quotation hapaRais Rousevelt, Linkolin na Obama wa Marekani, Golverchiev na Tony Blair waliwahi kutumia neno hili, je mbona hakuna kumbukumbu zote toka kwa Wananchi wa nchi zao kuwalaumu kwamba wametiwa aibu? Huenda wewe ni mtu mwenye uelewa mdogo saaana au ni mpumbavu kiasi kwamba hujui kama hujui.