Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"

Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"

Rais Rousevelt, Linkolin na Obama wa Marekani, Golverchiev na Tony Blair waliwahi kutumia neno hili, je mbona hakuna kumbukumbu zote toka kwa Wananchi wa nchi zao kuwalaumu kwamba wametiwa aibu? Huenda wewe ni mtu mwenye uelewa mdogo saaana au ni mpumbavu kiasi kwamba hujui kama hujui.
Walitumia wapi weka quotation hapa
 
Huwezi kuongoza taifa masikini hakuna maji, hakuna barabara, madawa, elimu, nk halafu ukakosa frustrations. Wenzake kina Trump, Merkel et al mambo yao safi. Wao wana budget surplus wakati huku kwetu unaongoza nchi yenye budget deficit! Kuongoza nchi za ulaya ni rahisi sana kuliko kuongoza nchi maskini za kiafrika!
Nilisahau. Kumbe Ulaya walizaliwa na utajiri!! One day they woke up and voilà the riches happened. That is crap!!!!!!!
 
Ma Rais wengi tu wamewahi kusema hivyo. Si muda mrefu Trump naye kasema hivyo. Kuhusu limition ya power yake kama Rais ku control US justice Department hasa FBI. Wapi? Interview kwenye O’Connor show.
Kwahiyo, very politely nakuomba, Acha kuanika ujinga wako uliojaliwa hapa jukwaani.
Sasa imagine huyu wetu ana control kila kitu na bado ana frastresheni! I can somehow understand Trump's frustrations. This is the case of the underdogs in politics wanapoangukiwa na zali. Frustration is inevitable!!
 
Rais Rousevelt, Linkolin na Obama wa Marekani, Golverchiev na Tony Blair waliwahi kutumia neno hili, je mbona hakuna kumbukumbu zote toka kwa Wananchi wa nchi zao kuwalaumu kwamba wametiwa aibu? Huenda wewe ni mtu mwenye uelewa mdogo saaana au ni mpumbavu kiasi kwamba hujui kama hujui.
Weka hapa ni wapi na lini waliadmit kuwa wana frustration!
Unaguess tu na kuweka upupu hapa!
 
Ameshaona kwamba sio wote wanaompigia makofi wanamshangilia,wengi wao wanamng'ong'a wanapalilia matumbo yao tu.

Tutasikia mengi sana huko tuendako
 
21433931_1969420299971796_3945963935768772608_n-jpg.641068

Nimeiingia google kutafuta maana ya neno hili :

frustration

noun

1. the feeling of being upset or annoyed as a result of being unable to change or achieve something.

2. the prevention of the progress, success, or fulfilment of something.

Naona maana ya kwanza ina uzito sana hapa.

Tafadhali tumsaidie Mheshimiwa Raisi.
 
Hana leadership skills atahangaika miaka yote hadi anamaliza muda wake na atapiga risasi watu wengi
 
Nimeiingia google kutafuta maana ya neno hili :

frustration

noun

1. the feeling of being upset or annoyed as a result of being unable to change or achieve something.

2. the prevention of the progress, success, or fulfilment of something.

Naona maana ya kwanza ina uzito sana hapa.

Tafadhali tumsaidie Mheshimiwa Raisi.
Hutu ana matatizo ya kisaikolojia tangu zamani na hakuna wa kumsaidia zaidi ya mental health professiinals kwa sasa.

His amygdala reaponds exceedingly to fear invoking stimuli even below the conscious level.
 
Mheshimiwa raisi lazima apatwe na frustration sababu majitu anayoyapambania mengi yao ni maropokaji na yana uelewa wa chini sana wa mambo kwa uhalisia.
 
Back
Top Bottom