Rais Rousevelt, Linkolin na Obama wa Marekani, Golverchiev na Tony Blair waliwahi kutumia neno hili, je mbona hakuna kumbukumbu zote toka kwa Wananchi wa nchi zao kuwalaumu kwamba wametiwa aibu? Huenda wewe ni mtu mwenye uelewa mdogo saaana au ni mpumbavu kiasi kwamba hujui kama hujui.laana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration
Tanga balaa…! albadir lisomwalo huko balaa! Ndio maana likazuiwa hadharani lakini likapigwa mioyoni mwa watu! Matokeo yake FRSTLTN! "Amenituma nikupe pole sana" "Kamwambie asante sana nashukuru"laana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration
Tetetetere Albadir imeanza kufanya kazilaana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration
Lakini si alisema pale pandarini kuwa anausongo wa mawazo?Tukifanya mzaha Wa kumbeza mzee uyu chadema NA ukawa mtatupeleka pabaya
Endeleeni kujadili yasiyo NA tija mitandao
The end justify ze means
TetetetetrDu!! Pole zake Naomba awekwe mbali na maji, moto, magari na majengo marefu make anaweza kujidhuru