Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"



Usongo wa mawazo

Tetetetetete


Swissme
 
Furasituleishn nyingine za KUJITAKIA. Alienda KUFANYA NINI Bandarini? Ni kazi yake? Kazi za wenzake anawishi kuwa ni zake! Ajifunze kwa Baba Nkwe wa Musa (wa kwenye Bible). Hata Musa alishawahi kuchanganyikiwa. Awaaache Wasaidizi wake wafanye kazi zao.
 
Nchi ilikuwa pabaya sana kuliongoza lazima likuchanganye hata kikwete alisumbuka sana tuwe wakweli ndio maana akawa anajiondokea kwenda safari za kila siku ikiwa ni jinsi ya kujipumzisha kusaikolojia
kwa hilo kama nchi ilikuwa pabaya amebadilisha nini kilichokusaidia toka amekuwa rais
 
basi kwa maana hii walimu wote duniani wana frustration maana wanafunzi wao huwa hawaelewi,hii tafsi yako ya neno frustration kwa kiswahili nadhani inapatikakana kwenye kamusi ambayo umeiandika wewe mwenyewe
 
Mema anayotutendea raid uyu alafu mnavyombeza ivo
Nawasikitikia sana

Mnataka akimaliza muda wake ndo mseme
Aliyekuwepo kabla ndo bora kuzidi aliyepo
HAIWEZEKANI
 
imagine almost 49milion wako nyuma yake na anasema and frustration cku ataachilia nyuklia kama Yule wa north korea
 
UFrustration haina umbali sana na ukichaa na ukiwa frustrated unaweza ukawa kichaa so may be he is over frustrated tumuombee huyu jamaa ili wote tusije tukawa frustrated kama yeye
 
Subiri 2020 mtaendelea kusoma namba tu,endeleeni kukariri hiyo frustration itawasaidia sana
 
Ni kweli yule ndugu siyo mzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…