Raisi Magufuli asema ana "Frustrations"

Frustrations zake hupenda kuzimaliza hivi. Ataua wangapi!?

 
Akikemea uporaji wa kura za madiwani na kuagiza haki itendeke Frustrations zitaondoka
Mpwa hili Jina lako limenishangaza Sana, badala ya Mzamifu nikasoma Mzinifu.... Nisamehe saaana
 
Dah yaani wana jf ni kiboko aisee[emoji23]
 
laana ya lisu kuchoma vifaranga na kusomewa albadiri ndo matokeo yake:Hivi rais anawezaje kusema ana frustration?aibu kwa taifa.iko siku atakimbia ikulu.maana yake nikwamba tunaongozwa na watu wenye frustration
Matatizo yalikuwa ni mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…