Raisi mpaka sasa yupo chini ya jeshi ambaye kashinda asilimia 98 mbona anaogopa kuwa anapendwa.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ?.

Kauli za kusema kusamehee,katiba ndani ya mfupa na kuomba upamoja kama alikuwa asilimia 98 mbona anaziongelea leo.

Hapa JF kuna mda hata sisi tuliopo tulianguka ila kumbukeni madaraka waliopo nayo wanaanguka ila wanaishi kama ile msemo wa commedy za EA TV wajawa wajinga kucheka watu wamefuria na wanakataa ila sababu wana madaraka utumia njia zozote.
 
Hapa dodoma Kila muda madege ya kijeshi hewani wanakagua Nini sijui.
 
Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ?.

Kauli za kusema kusamehee,katiba ndani ya mfupa na kuomba upamoja kama alikuwa asilimia 98 mbona anaziongelea leo.

Hapa JF kuna mda hata sisi tuliopo tulianguka ila kumbukeni madaraka waliopo nayo wanaanguka ila wanaishi kama ile msemo wa commedy za EA TV wajawa wajinga kucheka watu wamefuria na wanakataa ila sababu wana madaraka utumia njia zozote.
Anaishi kama digidigi na bado Watanganyika wanataka akalie mkuki
 
Back
Top Bottom