Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 6,007 Reaction score 15,216 Oct 12, 2026 #1 Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza. Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa. Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
Kama kuna mungu basi kuna shetani.Uwezi kusema hakuna mchana bila giza. Haya tunaelewa kuna wale washinda doria CCM polisi hapa JF,JWTZ,usalama na chawa. Mshapewa moja ili na lengine huko USA na ulaya mlichokifanya kuonga na kuuza nchi ombeni maraisi wao au wajinga wao wabaki.
Mikopo Consultant JF-Expert Member Joined Oct 28, 2024 Posts 2,375 Reaction score 4,784 Oct 13, 2026 #2 sijakuelewa ndugu shetani! Uzi wako una maana gani?
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,786 Reaction score 4,167 Oct 13, 2026 #3 Braza Lucifer, can u Luciferize your thread please?