Raisi samia: Nadhani hatuchukui hatua. Ni nani wanaotakiwa kuchukua hatua?

Raisi samia: Nadhani hatuchukui hatua. Ni nani wanaotakiwa kuchukua hatua?

Lazima CAG amekosea yeye mengi... 😊

Kazi iendelee..
 
Wezi hawamuogopi kwa sababu wameshamfahamu, sasa wanajua kucheza nae, hapo kuna mtandao mkubwa wa wezi wa mali za umma wenye connection kwake ndio maana hajui la kufanya anaishia kusema "nadhani ....", hapo ni kama anawaamsha wezi wapunguze kidogo kutuibia!.

Ajabu sana pale anapotutajia makosa mengi toka kwenye ripoti ya CAG, lakini hakuna popote anapoagiza wezi wachukuliwe hatua, kama huyo jamaa aliyekopa benki tano akatoroka nchini lakini hata jina hajamtaja...

Sijui kwanini amemficha wakati katuibia pesa zetu, au labda nae hamfahamu!, lakini vipi na wahusika waliotoa hiyo mikopo? hawakamatwi kuhojiwa chochote?

Jibu la hayo maswali hapo juu ni moja tu; connection.
 
View attachment 2570525
Nini sababu za kutochukua hatua? Je, ni udhaifu wa serikali kuu, sheria au mazingira?
Corrupted system kuiongoza ni shughuli. Kila kipengele kina majizi sasa utamwajibisha nani umwache nani?.Yeye ndio sababu ya haya yote, udhaifu. Anapaswa kuwajibika au ku wajibishwa.

Hizo report za madudu huwa havifanyiwi kazi yani hapo ndio imetoka hiyo, tusubiri report nyingine 😁
 
Wezi hawamuogopi kwa sababu wameshamfahamu, sasa wanajua kucheza nae, hapo kuna mtandao mkubwa wa wezi wa mali za umma wenye connection kwake ndio maana hajui la kufanya anaishia kusema "nadhani ....", hapo ni kama anawaamsha wezi wapunguze kidogo kutuibia!.

Ajabu sana pale anapotutajia makosa mengi toka kwenye ripoti ya CAG, lakini hakuna popote anapoagiza wezi wachukuliwe hatua, kama huyo jamaa aliyekopa benki tano akatoroka nchini hata jina hajamtaja.

Sijui kwanini amemficha wakati katuibia pesa zetu, au labda nae hamfahamu!, lakini vipi na wahusika waliotoa hiyo mikopo? hawakamatwi kuhojiwa chochote?

Jibu la hayo maswali hapo juu ni moja tu; connection.
Huyu wala hana hata fununu mambo yanafanyikaje, yaani uchochoro kabisa. Ati watu wanamlinganisha na JPM, yale yalikuwa maji marefu, [ ingawa kuna un-proven ukatili]
 
BOT KAZI YAO NI KULIPA TU SIYO KUHOJI UHALALI WA MALIPO
Dokezo/barua inaanzia sijui kwa mkuu wa Idara kuomba idhini then DED/RAS/CEO/KM anakubali au kukataa, vocha inaandikwa inapita kwa Chief inaenda kwa DED/RAS/CEO/KM(MUSE) then hazina baadae BOT, huku kote inapitaje?
 
20230330_081920.jpg
 
Back
Top Bottom