dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
bila ukatili utaongozaje hizi mchwa?JPM alipofeli ni ukatili tu kama isingekuwa hivyo basi angekuwa ni Rais Bora kuwahi tokea Toka tumepata uhuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila ukatili utaongozaje hizi mchwa?JPM alipofeli ni ukatili tu kama isingekuwa hivyo basi angekuwa ni Rais Bora kuwahi tokea Toka tumepata uhuru.
Shida ni kuwa nchi kwa sasa ni kama haina Rais. Imerudi tena ile awamu ya kuzurula nje ya nchi bila kujali kinachoendelea ndani.Wezi hawamuogopi kwa sababu wameshamfahamu, sasa wanajua kucheza nae, hapo kuna mtandao mkubwa wa wezi wa mali za umma wenye connection kwake ndio maana hajui la kufanya anaishia kusema "nadhani ....", hapo ni kama anawaamsha wezi wapunguze kidogo kutuibia!.
Ajabu sana pale anapotutajia makosa mengi toka kwenye ripoti ya CAG, lakini hakuna popote anapoagiza wezi wachukuliwe hatua, kama huyo jamaa aliyekopa benki tano akatoroka nchini hata jina hajamtaja.
Sijui kwanini amemficha wakati katuibia pesa zetu, au labda nae hamfahamu!, lakini vipi na wahusika waliotoa hiyo mikopo? hawakamatwi kuhojiwa chochote?
Jibu la hayo maswali hapo juu ni moja tu; connection.
Tanzania wezi Wana nguvu sana na connection kubwa kuliko Serekali!!Kutengua? Mbona hiyo ni kama favour. Arrest them and put them in custody! Na wale walamba asali wote kimyaaaaaaaa
Kwani yeye Magufuli ndo aliwafanya niniAti Sheria! Muungwana sawa, lakini hawa mbwa wataingia hadi madhabahun. Magufulicate them
we need to apply some sort of Magufulication
Ngosha alianzisha na mahakama ya mafisadi, tuambie nani aliwahi kufungwa...Wezi hawamuogopi kwa sababu wameshamfahamu, sasa wanajua kucheza nae, hapo kuna mtandao mkubwa wa wezi wa mali za umma wenye connection kwake ndio maana hajui la kufanya anaishia kusema "nadhani ....", hapo ni kama anawaamsha wezi wapunguze kidogo kutuibia!.
Ajabu sana pale anapotutajia makosa mengi toka kwenye ripoti ya CAG, lakini hakuna popote anapoagiza wezi wachukuliwe hatua, kama huyo jamaa aliyekopa benki tano akatoroka nchini lakini hata jina hajamtaja...
Sijui kwanini amemficha wakati katuibia pesa zetu, au labda nae hamfahamu!, lakini vipi na wahusika waliotoa hiyo mikopo? hawakamatwi kuhojiwa chochote?
Jibu la hayo maswali hapo juu ni moja tu; connection.
Usimlinganishe Rais na vichaa kama MagufuliHuyu wala hana hata fununu mambo yanafanyikaje, yaani uchochoro kabisa. Ati watu wanamlinganisha na JPM, yale yalikuwa maji marefu, [ ingawa kuna un-proven ukatili]
Upo sahihi angalau watu walikuwa wanaogopa hata kdgJPM alipofeli ni ukatili tu kama isingekuwa hivyo basi angekuwa ni Rais Bora kuwahi tokea Toka tumepata uhuru.
Usimlinganishe Rais na vichaa kama Magufuli
Nchi hii bila ukatili haiendi hasa kwa wizi na rushwa na ufisadiiiJPM alipofeli ni ukatili tu kama isingekuwa hivyo basi angekuwa ni Rais Bora kuwahi tokea Toka tumepata uhuru.
hii inahusika vipi na ndege iliyoagizwa miaka 4 iliyopita?Lakini, hapo kwenye high estimate, si ni yeye ndiye alisema vitu vitapanda bei? Au ilikuwa ni kwenye mchele, unga na bidhaa ndogondogo?
View attachment 2570699
Alikukatili nini?JPM alipofeli ni ukatili tu kama isingekuwa hivyo basi angekuwa ni Rais Bora kuwahi tokea Toka tumepata uhuru.