Raisi Samia, utatembelea bucha zote lakini maini ni yale yale!

Hadi sasa ndio anashikilia hiyo rekodi. Ana miaka 3 ila kila taasisi ina wakurugenzi 4 ama 5. Kila wizara una mawaziri 3 am 4, kila halmashauri ina wakuu wa wilaya 3 ama 3, wakurugenzi, ras ama das, rc na wote wanaoteuliwa.
Hakuna kitu kibaya katika utawala na uongozi kama anaeteuliwa kufanya kazi katika mazingira ya uncertainty, kama kesho atakuwapo au atakuwa ameshaondolewa. Hata ziara utaogopa kufanya, ukihofia usije kutumbuliwa ukiwa ziarani na kuishia kupanda basi kurudi nyumbani toka mikoani. Raisi Samia anapaswa kutambua hilo
 
Ni kama wanamshikia bunduki kwamba lazima awateue wao tu. Tangu ameingia madrakani ameteua na kutengua zaidi ya mara tano lkn cycle ni ile ile.

Mh Dr Samia please weka watu wapya hao hawana uwezo tena.
Labda tumsifie kama ni kweli ameikabili pressure ya Makamba senior katika kumteua Makamba junior kwenye hizi nafasi. Binafsi nahisi kama baada ya muda mfupi tutasikia Makamba junior kapata uteuzi mwingine mzito. Kuna wakati tulisoma humu JF kwamba influence ya Makamba senior kwenye uteuzi wa Makamba junior ilikuwa kubwa hadi kwenye kusema ni wizara ipi Makamba junior apewe. Na akijua hili Makamba junior ali dictate hata nani anataka kufanya nae kazi, kutia ndani nani awe Mkurugenzi wa Tanesco, na ikabidi watu kama kina Prof. Tito Mwinuka waondolewe Tanesco ili Makamba junior aweke watu wake -kina Mahagarechande, nk! Kilichofuata kila mtu anakijua, very sad indeed, na inabidi tumlaumu Raisi Samia kwa kuruhusu hili. Hawezi kukwepa lawama hapa.
 
Huku kwetu sifa ya kwanza uwe chawa.
Nakumbuka Marehemu Mzee wetu Alhaji Mwinyi, alimteua mtu ambaye alimuharakisha kutoka katika Nyumba ya serikali alipojiuzulu uwaziri, lakini alipokuja kuwa Raisi, alimteua Mtu huyo kuwa Waziri.
 
SSH ana shida hapendi watu wampite umaarafu, wachapakazi kama Lukuvi, Slaa, Kalemani, Majaliwa, Kabudi, Polepole, Bashiru hawa walikuwa watendaji wazuri angewatumia vizuri wangemsaidia sana na kuepuka matatizo mengi na mikataba mibovu
Yeye anafuata Katiba,kwamba ina mpa hayo mamlaka basi anayatumia
 
Hadi sasa ndio anashikilia hiyo rekodi. Ana miaka 3 ila kila taasisi ina wakurugenzi 4 ama 5. Kila wizara una mawaziri 3 am 4, kila halmashauri ina wakuu wa wilaya 3 ama 3, wakurugenzi, ras ama das, rc na wote wanaoteuliwa.
Raisi Samia anaweza ku anaona matatizo katika watu anaowateua na hivyo inabidi awatengue, lakini kwa jinsi anavyofanya hivyo kila wakati, eventually conclusion inakuwa kwamba yeye ndio mwenye tatizo, sio hao anaowateua na kuwatengua. Huwezi kuwa kiongozi mahili ikiwa unabadili mawazo kila baada ya miezi miwili au mitatu. Unasababisha instability katika uongozi wa nchi.
 
Nakumbuka Marehemu Mzee wetu Alhaji Mwinyi, alimteua mtu ambaye alimuharakisha kutoka katika Nyumba ya serikali alipojiuzulu uwaziri, lakini alipokuja kuwa Raisi, alimteua Mtu huyo kuwa Waziri.
Jackson Makweta alikuwa mmoja wapo wa viongozi wenye ujasiri wa kutokukubaliana na maoni ya Nyerere wakati wa vikao vya baraza la mawaziri. Nyerere hakumuondoa kwa kufanya hivyo. Alikuwa aki-argue na Makweta kwa hoja
 
Kila mteule wa Samia sasa hawezi kua na utulivu kazini kwa sababu anajua any time anaondolewa, any time. Uboss serikalini sasa uko very uncertain. Hii ingekua wizarani kwa mawaziri haina shida ila tatizo hadi kwa watendaji wa chini.
 
Instability and uncertainty in public administration is a recipe for failed governance, someone needs to tell President Samia
 
Jackson Makweta alikuwa mmoja wapo wa viongozi wenye ujasiri wa kutokukubaliana na maoni ya Nyerere wakati wa vikao vya baraza la mawaziri. Nyerere hakumuondoa kwa kufanya hivyo. Alikuwa aki-argue na Makweta kwa hoja
Hata Benjamin alivyokuwa Waziri mambo ya Nje , kuna jnr staff alimtolea maneno, lakini hakumuwekea kisasi au kumdhulumu nafasi au utu wake kwa mambo hayo, huo ndio ukomavu wa kuwa Kiongozi
 
Nilijua hatimaye utaingiza udini,na yaelekea focus yako Kila teuzi una scrutinize dini za wateule kwanza which speaks volume on you.
Mengine uliyosema yapite ila yaonyesha vile ulivyopiga kimya teuzi za udini za Mwendakuzimu unaumizwa kuondoka kwa Ile monopoly.
Pole Kiboko ya Wachawi
 
Wewe huna utimamu wa akili. Mimi namshauri Samia asifikirie udini wewe unasema naingiza udini, uko sawa kichwani kweli?

Mtu anaesema "Sio tatizo kuwa na mawaziri wengi wakristo au waislamu - ili mradi ni watu makini, wachapa kazi na wazalendo wa kweli walioteuliwa" ni mtu wa udini? Wewe unahitaji kuelimishwa uondoe ujinga wa kuelewa maandishi.
 
Mjinga ni wewe unayejiona mjanja wengine tunajua kusoma between the lines. Unazeekea JF hukuwai kukemea kiatu kilipokuwa mguu mwingine.
Usjione genius Kumbe ni hot foul air tuu.
Kama unaleta mitusi hapa umefika let's take the gloves off
Sorry Kiboko ya Wachawi kuingilia forum inayokupa emotional gratification
 
Kitu kimoja ninachojua ni kwamba naweza kuwa mjinga humu JF, lakini nakuzidi akili wewe.
 
Kitu kimoja ninachojua ni kwamba naweza kuwa mjinga humu JF, lakini nakuzidi akili wewe.
Mjinga mwenye akili ,unaumwa tena unaumwa sana psychologically (self inflation egoism syndrome) tafuta usaidizi wa afya ya akili
Pungo jua, ni zaidi ya mjinga hasa mpumbavu anaekimbilia kutukana kwenye hoja isiyio hitaji tusi.
Tatizo la makuzi ya hovyo ya mzazi mmoja.
 
Lazima wewe ni wa dini ile na kutoka kule. Ndio mnaoongea namna hii
 
Naamini wewe upo nje ya mfumo kiasi cha kuweza kuongea hivi. Hao hao anaowapa vyeo wanafanya shughuli ya kishenzi ya kumgeuka na kusaliti ofisi wanazopewa.

Kina Nape wanaosema kuwa CCM haishindi bila ya goli la mkono ni maadui wa kwanza wa Rais yoyote makini, wanamtengenezea hali ya kumkwaza akiwa pale ikulu na hakuna mtu makini mwenye kuweza kuvumilia upumbavu wa aina hiyo.

Kina Makamba pia wana ambitions za urais na ni wepesi wa kutengeneza makundi ya majungu yenye kazi ya kufanya masuala ya kinafiki badala ya kutumikia walipa kodi. SSH anaongoza nchi ya mwaka 2024 sio sawa na kina Nyerere na Mwinyi walioongoza nchi yenye watu milioni 20, tuna challenges nyingi sana na zina mahitaji mengi pia.
 
Lazima wewe ni wa dini ile na kutoka kule. Ndio mnaoongea namna hii
wewe - singular
mnaongea - plural
Lesson; Acha kujifanya mjuvi wa kila kitu na sasa unajua kumbe hujui, now kindly shut up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…