DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali.
"Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata nusu ya mali yake na hatimaye kuwa tajiri baada ya talaka.
Talaka imekuwa biashara yenye faida kubwa kwa wanawake wengi nchini Marekani na nishaingia ofisini, nitaikomesha. Ikiwa mwanamke ataolewa na mwanamume tajiri, haimaanishi kwamba ataondoka kama mwanamke tajiri baada ya talaka.
Ikiwa baada ya talaka mwanamke anahitaji pesa, mwanamume anaweza kumuazima kiwango cha juu cha $1-milioni ikiwa ana dhamana. $1-milioni sio pesa nyingi kwa tajiri lakini inapaswa kuwa nyingi kuitoa kwa sababu mwanamke huyo hakuifanyia kazi.
Ikiwa nina thamani ya $50-milioni, sitakupa $25-milioni baada ya talaka. Hiyo Ni pesa yangu na niliifanyia kazi kwa bidii sana.
Sijali kama tumeoana kwa miaka 6 au hata miaka 25 au hata tuna watoto."