Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba hela nikanunue wanja.Akimaliza aje bongo hapa apige marufuku mademu kuomba omba pesa , yani mtu anakuomba hela ya kununua nail cutter ya kucha, khaaa🤣🤣
ni takatifu kwa sababu mwanzilishi wa Ndoa ni Mungu mwenyewe. pale bustanini Edeni.Sahihi mkuu!!
Ila kwanini umesema takatifu?
HAA!! 🙄🙄ni takatifu kwa sababu mwanzilishi wa Ndoa ni Mungu mwenyewe. pale bustanini Edeni.
kuna mahali umechanganyikiwa?HAA!! 🙄🙄
😂Akimaliza aje bongo hapa apige marufuku mademu kuomba omba pesa , yani mtu anakuomba hela ya kununua nail cutter ya kucha, khaaa🤣🤣
Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali.
"Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata nusu ya mali yake na hatimaye kuwa tajiri baada ya talaka.
Talaka imekuwa biashara yenye faida kubwa kwa wanawake wengi nchini Marekani na nishaingia ofisini, nitaikomesha. Ikiwa mwanamke ataolewa na mwanamume tajiri, haimaanishi kwamba ataondoka kama mwanamke tajiri baada ya talaka.
Ikiwa baada ya talaka mwanamke anahitaji pesa, mwanamume anaweza kumuazima kiwango cha juu cha $1-milioni ikiwa ana dhamana. $1-milioni sio pesa nyingi kwa tajiri lakini inapaswa kuwa nyingi kuitoa kwa sababu mwanamke huyo hakuifanyia kazi.
Ikiwa nina thamani ya $50-milioni, sitakupa $25-milioni baada ya talaka. Hiyo Ni pesa yangu na niliifanyia kazi kwa bidii sana.
Sijali kama tumeoana kwa miaka 6 au hata miaka 25 au hata tuna watoto."
Kabisa mkuu!!kuna mahali umechanganyikiwa?
Chuma TRUMPRais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali.
"Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata nusu ya mali yake na hatimaye kuwa tajiri baada ya talaka.
Talaka imekuwa biashara yenye faida kubwa kwa wanawake wengi nchini Marekani na nishaingia ofisini, nitaikomesha. Ikiwa mwanamke ataolewa na mwanamume tajiri, haimaanishi kwamba ataondoka kama mwanamke tajiri baada ya talaka.
Ikiwa baada ya talaka mwanamke anahitaji pesa, mwanamume anaweza kumuazima kiwango cha juu cha $1-milioni ikiwa ana dhamana. $1-milioni sio pesa nyingi kwa tajiri lakini inapaswa kuwa nyingi kuitoa kwa sababu mwanamke huyo hakuifanyia kazi.
Ikiwa nina thamani ya $50-milioni, sitakupa $25-milioni baada ya talaka. Hiyo Ni pesa yangu na niliifanyia kazi kwa bidii sana.
Sijali kama tumeoana kwa miaka 6 au hata miaka 25 au hata tuna watoto."
Wanaume wakipata pesa wanadhani kitulizo cha msongo ni mwanamke. Ila mwanamke akipata mume mwenye pesa yeye kitulizo cha stress zake ni pesa tu na starehe sio mumeWimbi la wanawake kudai talaka kinguvu kwa matajiri limezidi Sana kule usa
Acha awanyooshe hawa Gold diggersRais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali.