Raisi Trump aikosoa vikali sheria ya talaka kwa wanandoa

Ukiangalia marafiki zake ni akina jeff ambao waliachwa lazima awatetee maana nae yupo kundi moja mkewe anaweza akachomoa betri, halafu kuna tetesi ati Michelle Obama anataka nayeye achomoe waya...🤣
 

Wanaume tukiongea vitu vyenye maana.

Safi Sana Trump
 
Chuma TRUMP
 
Wimbi la wanawake kudai talaka kinguvu kwa matajiri limezidi Sana kule usa
Wanaume wakipata pesa wanadhani kitulizo cha msongo ni mwanamke. Ila mwanamke akipata mume mwenye pesa yeye kitulizo cha stress zake ni pesa tu na starehe sio mume
 
Acha awanyooshe hawa Gold diggers
 
Watu ambacho hamkujui haki na 50 kwa 50 ni mpango wa mpinga kristo kingine unachotakiwa kujua trump ni mpango wa kristo.
 
Wanaume wenye mawazo ya kiume tupo wachache sana na hatudumu. kifo kinatuchukua mapema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…