Raisi Trump aikosoa vikali sheria ya talaka kwa wanandoa

Amechelewa sana, wanaume walikuwa wanalizwa sana , kufilisika, wengine wanarudi kulala mtaani sababu mwanamke kaamua.

Kwa US akibadili sheria onevu kama hizo atakubalika zaidi
 
Nadhani yalishamkuta! Kama sikosei alishaachana na wanawake wawili na huyu aliye naye ni watatu.
 
marekani wakibadilisha izi sheria inamana na sisi inabidi tubadilishe sio?
 
Akimaliza aje bongo hapa apige marufuku mademu kuomba omba pesa , yani mtu anakuomba hela ya kununua nail cutter ya kucha, khaaa🤣🤣
Itakuaje na wao wakibana vilivyopo katikati ya mapaja Yao?
 
Hapo Trump hajakosea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…