ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete alitusaidia sana, na Sasa tuna umeme wa gas ambao ndo huu tunagawana hawana.
Ombi langu Kwa Raisi Samia, ni kuwa miradi ya umeme wa maji inachukua muda mrefu sana kukamilika, na inategemea mvua, ila miradi ya Gas ni mifupi unanunua mitambo unafunga unaunga gas umeme huo. Namuomba mama atuletee mradi mmoja mkubwa wa umeme wa gas hata MW 400 kabla ya 2025 Ili wakati tunasubiri mazege ya bwawa la Nyerere kukauka tutakuwa tumetatua tatizo la Mgao wa umeme. Nashauri mama apunguze kasi ya kuunga umeme vijijini na mambo ya nishati mbadala na pesa apeleke kwenye mtambo mwingine mkubwa wa Gas italeta tija sana.
Kwasasa mitambo ya gesi Bado haijitoshelezi hata huo ambao byabato amesema wanakaribia kuwasha Bado ni mdogo maana matumizi ni makubwa sana. Kwa mwaka Tanesco anaunga wateja 300,000 lakini umeme ni uleule Sasa unategemea nini.
Weka hata Tozo mi nakubali Ili utuletee mtambo wa gesi tuondoe mgao.
Bwawa la Nyerere maji yatakuwepo ila wakulima wote Bonde la mbarali na Kilombero wakatafutiwe maeneo ukanda wa chini Rufiji,