mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa.
Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.
Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye Nchi hii hadi afikie kiwango Cha kuwatukama wazee wetu,tena ambao waliwahi kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa.Na mcango wao bado unahitajika hadi sasa.