Raisi wetu Mama Samia Mtumbue Ally Hapi kabla hujamuapisha

Mama Samia Mtumbue A,Hapi,atakuhalibia na kutoa imani kwa watanzania waliyonayo kwako,
Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu,kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa,.

Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.

Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye Nchi hii hadi afikie kiwango Cha kuwatukama wazee wetu,tena ambao waliwahi kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa.Na mcango wao bado unahitajika hadi sasa.
Ally Happy kakalia kuti kavu.
 
NA wewwe ni nani katika nchi hii mpaka upangie wengine mawazo?
Chuki zako kamfanyie mmeo na si watu wengine
Mama Samia Mtumbue A,Hapi,atakuhalibia na kutoa imani kwa watanzania waliyonayo kwako,
Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu,kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa,.

Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.

Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye Nchi hii hadi afikie kiwango Cha kuwatukama wazee wetu,tena ambao waliwahi kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa.Na mcango wao bado unahitajika hadi sasa.
 
Huyo hapi hata akitumbuliwa poa tu.
Lakini hii lugha eti 'walilitumikia taifa kwa uadilifu mkubwa....' siyo kabisa.
Wote ni wezi kwa sababu pamoja na nguvu za kiutawala walizokuwa nazo wao na 'watu' wao waliachilia wizi na waliiba pia. Mwendakuzimu naye wizi mtindo mmoja....
Kujifariji kuwa walitumikia taifa kwa uadilifu ni kujilisha upepo tu. Kwanza hao ndio taswira ya hao wastaafu! Maana hao ndio vijana wao.
Wabongo mnajisahaulisha mno.....Hivi hata bashite si aliteuliwa na kikwete baada ya kumtwanga Warioba?! Au ninachanganya mafaili?!
 
Hizo trillion 2.4 zilielezewa kwa kirefu ndani ya bunge kama hukuelewa hayo ni matatizo yako binafsi.

JPM kama alifanya ufisadi angalau vitu vingi sana tangible vipo leo hii kama ushahidi wa matumizi ya pesa.

Assad alitumia lugha zenye kuidharau mamlaka akamkwaza mpaka Kiongozi wa juu kabisa.
Kama unaweza kutetea matumizi yaliyofanyika bila idhini ya Bunge basi wewe siyo mwerevu kama nilivyokuwa nakuchukulia, au unafanya makusudi.

Matumizi yeyote yanayofanywa bila idhini ya Bunge ni UFISADI, period
 
Ndio maana watu wanamtukana mwendazake, japokuwa yupo kaburini. Haijalishi...

Dikteta angetupoteza sana yule...

Mungu akaamua kutufanyia wepesi
Ajabu wanaosema wazee hao sawa kuwatukana wanaweza kusema mwendazake asitukanwe hata kama kuna makosa alitenda.
 
Laana na baraka za mwanadamu yeyeto zimo ndani ya ulimi wake.
Tayari alishajichafua kwa ulimi wake anguko lake ni mda tu
 
Mama Samia Mtumbue A,Hapi,atakuhalibia na kutoa imani kwa watanzania waliyonayo kwako,
Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu,kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa,.

Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.

Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye Nchi hii hadi afikie kiwango Cha kuwatukama wazee wetu,tena ambao waliwahi kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa.Na mcango wao bado unahitajika hadi sasa.
Mwendo wa kuchongeana sasa
 
Kama unaweza kutetea matumizi yaliyofanyika bila idhini ya Bunge basi wewe siyo mwerevu kama nilivyokuwa nakuchukulia, au unafanya makusudi.

Matumizi yeyote yanayofanywa bila idhini ya Bunge ni UFISADI, period
Kila matumizi yalifanywa kwa idhini ya bunge. Hata zile ndege mlisema hazikuidhinishwa na bunge ushahidi upo wa bunge kuidhinisha.

Siasa nyingi ni za malalamiko.
 
Ukisikia kusagia kunguni ndo huku.

Wewe ni Mstaafu kwani?
 
Huo udhaifu umeshaonekana na unatumiwa ipasavyo. Hayati alikuwa opposite, mkimshambulia sana mteule wake yeye anakwenda kinyume chake.

Ile team JK imerudi kwa nguvu zote kwa baadhi ya watu wanaona ni nafuu lakini kwa wengine wanaona kama ni kurudi kule kule kwenye masuala ya deals.
We mataga na wewe sometimes unakuwaga na michango ya maana sometimes umagufuli umekuharibu sana.
Kuna kipindi gani ambapo nchi hii haikuwa na deal?

By the way,ukiangalia benchmark nyingi,uongozi wa Kikwete ulikuwa na mafanikio mengi mno. Hayo madini yako ya deal ni porojo tupu!
 
Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa.

Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.

Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye Nchi hii hadi afikie kiwango Cha kuwatukama wazee wetu,tena ambao waliwahi kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa.Na mcango wao bado unahitajika hadi sasa.

View attachment 1815796
Wastaafu watulie ndiyo maana ni wastaafu aliyepo madarakani zama zao zimekwisha waliyoyafanya kama ni mazuri tunawashukru na kuyaenzi kama mabaya hatuhitaji kujifunza mabaya,
 
Heshima haiuombwi ; wastaafu kama hawajiheshimu na wakafanya mambo ya hovyo juu ya kodi zetu kuwatunza lazima wataambiwa kuwa wanatukwaza!! Wakiwa wastaafu ni lazima waendeshe maisha yao kama wastaafu na sio tena kujiingiza kwenye active politics hata kama ni kwa mlango wa nyuma!!!!
Mkuu unaitaka nafasi ya Ally Happi ? maana hili andiko lako ni sawa na kumsagia kunguni
 
Watanganyika ni ngumu sana kuwaelewa......

Kabla ya kumchongea emu jaribu kuangalia............

Alikotokea, waliomfikisha apo alipo.......

Usihangaike na spika............

yajayo yanafurahisha......
 
Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa.

Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.

Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye Nchi hii hadi afikie kiwango Cha kuwatukama wazee wetu,tena ambao waliwahi kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa.Na mcango wao bado unahitajika hadi sasa.

View attachment 1815796
Hakuna tatizo na hii kauli

Pure political
 
Back
Top Bottom