Raisi wetu Mama Samia Mtumbue Ally Hapi kabla hujamuapisha

Huyu katupwa mkoa mgumu akajitumbue mwenyewe.Hawa mbwembwe type huwa wanajisahau sana
utakuta hata nyumba hawana zaidi ya kumiliki mbwembwe tu.
Wanapoambiwa uongozi ni siti ya daladala huwa awaelewi
 
Huyo kijana ameonyesha insurbodination ya hovyo sana kwa kutishia kumtwanga a retired president, ameidhalilisha hata hiyo nafasi ya ukuu wa mkoa.....aondolewe tu maana hakuna namna nyingine.
 
Zama za shujaa wa Africa ziliposhika hatamu KILA kauli tata za kuwananga wastaafu akiitoa ilikuwa ni lzm malaika zake nao wazisindikizie kumsapoti.
Hapi aliwahi tukana mamba alisema wastaafu wakae kimya hakujua kesho leo awamu ya nne ndo ipo kazini na technologia haina uwezo wa kufuta historia.
 
Hi
Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa.

Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.

Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye Nchi hii hadi afikie kiwango Cha kuwatukama wazee wetu,tena ambao waliwahi kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa.Na mcango wao bado unahitajika hadi sasa.

View attachment 1815796
Vitoto hivi .... Vina ishi kimizuka mizuka Ila vitanyooshwa visipojifunza
 
Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa.

Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.

Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye Nchi hii hadi afikie kiwango Cha kuwatukama wazee wetu,tena ambao waliwahi kulitumikia Taifa kwa uadilifu mkubwa.Na mcango wao bado unahitajika hadi sasa.

View attachment 1815796
Majungu tupu,fanya kazi nzuri pata pesa nawe utatue matatizo yako.roho yako siyo nzuri penda binaadam wenzio nawe watakupenda.
 
Vijana wa SACCOS ya kaskazini sasa wamepata pa kupumilia kila aliyekuwa mwamba kwa watu wao wanataka aondolewe kwenye uongozi wanasabau za kitoto sana.
 
Umekabiziwa mkoa pambana changamoto za mkoa wako, Kutafuta kiki itakuja kukuharibia future ya medali za siasa.
 
Huyu katupwa mkoa mgumu akajitumbue mwenyewe.Hawa mbwembwe type huwa wanajisahau sana
utakuta hata nyumba hawana zaidi ya kumiliki mbwembwe tu.
Wanapoambiwa uongozi ni siti ya daladala huwa awaelewi
Mara ni mabwanyenye akae nao vizuri.. pale majungu ndio mahala pake
 
Hujawahi kuwa na Akili tokea uwepo haoa Jamvini na sijui kama unatambua kuwa Wewe ni 'Psychopath Case' na umechelewa kwenda kuanza Matibabu yako ama Milembe Hospital ( Dodoma ) au Lutindi Hospital ( Tanga ) ili angalau uweze Kupona kabisa.
 
Ewe mwezi mchanga ngoja nimalize kuendesha kikao hapa ofisini then nikuanzishie uzi maalumu..
Punguan wahed
 
Back
Top Bottom