Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kutokana na mchango wao wanaouonesha katika taifa, hasa ule wa kuitangaza nchi yetu nje ya mipaka, hatuna budi kuwapa motisha kutokana na kazi nzuri waifanyayo
Mimi pamoja na jopo zima la sanaa X na tuzo bora Afrika mashariki, kwa kushirikiana na baraza la sanaa nchini, hatutoishia kuwaalika wapige daku na viongozi wakubwa. Tuna mpango wa kumpatia tuzo mmoja wao ili akatuwakilishie taifa kwenye mashindano X ya kidunia
Unadhani ni nani anafaa kuchukua tuzo hiyo (2023) na kwa nini?
N.B Sababu ni ya msingi zaidi